Bongo tunapenda sana propagandaWakuu kama nitakua nimemfananisha basi mtanisamehe,nimemuona Dr.akiwa na kiongozi mmoja wa wekundu wa msimbazi.
Naamini lazima kuna mtu wa ndani wa Yanga anahusika,je'ni nani anaihujuma Yanga?
Picha sio kigezo,kumbuka Rage alipiga picha na Mbuyu twite akimsainisha mkataba lakini akaenda Yanga,kumbuka Morison alipigwa picha akiwa na mkataba wa Yanga lakini umafia ukafanyika kimya kimya Simba wakambeba na sasa Aucho Simba wanataka kumnyakua kama alivyonyakuliwa bwana Yesu kwenda mawinguni.Acha uzushi, kama sio uzushi leta picha
Jipe moyo utashinda...Wakuu kama nitakuwa nimemfananisha basi mtanisamehe
Nimemuona Dr. Aucho akiwa na kiongozi mmoja wa Wekundu wa Msimbazi.
Naamini lazima kuna mtu wa ndani wa Yanga anahusika, je ni nani anaihujuma Yanga?
Wakuu kama nitakuwa nimemfananisha basi mtanisamehe
Nimemuona Dr. Aucho akiwa na kiongozi mmoja wa Wekundu wa Msimbazi.
Naamini lazima kuna mtu wa ndani wa Yanga anahusika, je ni nani anaihujuma Yanga?
Mo Dewji (Chupli Chupli) amepigiwa kura lini na nani mpaka amepewe Urais Wa Heshima?Tanzania raha Sana
Mtu anatoka huko hata kusoma hajui lakn akija huku anatunukiwa udaktari na uprofesa
Nabi
Aucho
Lakn kagere anafunga fei toto anakiwasha hata udaktari hawapewi
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ni kweli kabisa hata mm nimemuona ni suala la muda tu Ku confirm
Kwahyo picha ndo mkataba wa usajili?Wakuu kama nitakuwa nimemfananisha basi mtanisamehe
Nimemuona Dr. Aucho akiwa na kiongozi mmoja wa Wekundu wa Msimbazi.
Naamini lazima kuna mtu wa ndani wa Yanga anahusika, je ni nani anaihujuma Yanga?
Hayo mambo yote ya kitapeli na Ujanja Ujanja alikuwa anayafanya Marehemu Hanspope hapo Simba SC hakuna mtu mwingine mwenye uwezo kama yeyeWakuu kama nitakuwa nimemfananisha basi mtanisamehe
Nimemuona Dr. Aucho akiwa na kiongozi mmoja wa Wekundu wa Msimbazi.
Naamini lazima kuna mtu wa ndani wa Yanga anahusika, je ni nani anaihujuma Yanga?