Ni nani aliyejaribu kukwamisha BULAYA CUP?

Ni nani aliyejaribu kukwamisha BULAYA CUP?

KisakoKivuyo

Senior Member
Joined
Mar 28, 2012
Posts
151
Reaction score
45
Jana wakati akifunga mashindano ya BULAYA CUP huko BUNDA mbunge wa viti maalumu ESTER BULAYA alilalamika kwamba wakati yeye akitafuta fedha kwa hali na mali kuendesha mashindano hayo kuna watu wazima na vitambi vyao walijaribu kuyakwamisha. Akili yangu inamuhisi mtu fidenge wa masuala ya uratibu ila wanajamii sijui mna mawazo gani. au ni fitna za ubunge mwaka 2015? who knows! na ni kwanini alijaribu kukwamisha jambo lenye manufaa kwa vijana?
 
Kwa nini Esther Bulaya anaumauma maneno, amtaje ili watu tumjue.
 
mnataka kusema atakua nyara au? ila yule nae alishasema mbn bulaya ana urafiki wa karibu na mdee na inajulikana hata mkuu wa wilaya wa sasa wa bunda alipewa ukuu baada ya kumsimamia nyara katika uchaguzi wa kuingia NEC mpaka jamaa akawa wa kwanza
 
Huyu ni Steven Masato Wassira...

Unajua huyu binti Bulaya ana akili sana, ameangalia katika mkoa wa Mara majimbo yalivyo na sehemu gani ni dhaifu akagundua kwa Wassira ndio panaingilika kwa kufata ile imani kuwa ''ng'ombe dume mzee ni rahisi kumchinja''. Anachukua jimbo huyu binti 2015 kama atahamia CHADEMA
 
Watu wa Bunda walio wazee na wenye vitambi wako wengi sana

mnyika-wassira.jpg
 
wassira ana husika kabisa maana ana ogopa jimbo lita chukuliwa.
 
Back
Top Bottom