Labda kwa kukusaidia kidogo ni kwamba Marilyn manroe alikuwa anatoka na jf kennedy raisi wa marekani, na piaonroe alifanya makoaa makubwa ya kiufundi kama walivyosema majasusi wa CIA, baada ya kutembea na fidel castro wakati huo uhusiano was marekani na Cuba ulikuwa mbaya sana kiasi kwamba nusu vizuke vita vya tatu vya dunia kwani urusi walipeleka makombora ya nyuklia ambayo yalikuwa yana uwezo wa kuibafuta Florida na Miami take katika uso wa dunia, ukiondoa hapo cia walishamuonya monroe kwa kuwa na uhusiano na watu matajiri na maarufu wa wakati huo ikashindikana, kwani kiusalama isingekuwa jambo bora kwa raisi wa marekani ku share mapenzi na watu tofauti tofauti wengi wao walikuwa wanajua fika uhusiano was Monroe na jf Kennedy, hivyo majasusi wa CIA walimuua kwa kumwekea sumu. Hivyo alikutwa amekufa, na haya mambo wenyewe cia wali release kwenye intelligence revew report am bazo wanazitoaga kila baada ya muda Fulani na Hugo jasusi aliwahi kikili adharani kama yeye kwa mkono wake alihusika na wakati anakili habari hizi alikuwa keshakuwa mzee was miaka 80 na sina uhakika kama bado yuko hai ni kama miaka mitatu iliyopita.