Ccm nao watoe tamko juu ya hizo dola milion moja
Maadui zake ni wale wazungu ambao wanadhamini CHADEMA.Lengo likiwa kuiangusha CCM.Wanatumika kuibua kashfa za uongo kwa rais wetu.WASHINDWE KWA JINA LA YESU.

<br / hahahaa kweli we kichwa majiMaadui zake ni wale wazungu ambao wanadhamini CHADEMA.Lengo likiwa kuiangusha CCM.Wanatumika kuibua kashfa za uongo kwa rais wetu.WASHINDWE KWA JINA LA YESU.
Ukweli ni kwamba bila kushikamana na tukaamua kuendekeza ulimbukeni wa kushabikia kudhalilishwa rais wa nchi yetu,tutakua tunajidhalilisha sisi wenyewe pamoja na taifa letu.

tatizo lolngolongo kibao wote wanatufanya mazuzu

<br / hahahaa kweli we kichwa maji

Anajidhalilisha yeye mwenyewe kwa Tamaa zake na wala hakuna mtu anayemzalilisha, sana sana yeye ndio anayetudhalilisha na Taifa letu, Ulimbukeni ameuweka mbele. Na bado atajidhalilisha sana na kujivua nguo yeye mwenyewe. Kila Mtanzania anajua jinsi Fisadi wetu Papa Kikwete serikali yake ilivyolegelege inavyojidhalilisha kwetu sisi, Fisadi Kikwete anatakiwa ajiuzulu na awapishe wanaume wenye akili timamu waongoze nchi, na yeye mwenyewe asekwe JELA kwa Ufisadi na aibu alioiingizia Taifa.

like father like son so its a normal thing both they are same hatushangai.

Ukweli ni kwamba bila kushikamana na tukaamua kuendekeza ulimbukeni wa kushabikia kudhalilishwa rais wa nchi yetu,tutakua tunajidhalilisha sisi wenyewe pamoja na taifa letu.

Kwa hiyo jk ana maadui? Kwahiyo sio urais wake, ni yeye binafsi?

Balozi wa marekani naye ni adui yake? Kwa hiyo ikiwa ni taarifa kutoka nje ya tz, wanaitwa maadui, ikiwa ni taarifa kutoka ndani ya tz inakuwa wapinzani??

aache utani bana! Kununuliwa sarawili ni aibu!

Na CCM watoe tamko juu ya fedha kutoka nchi ya ilani kufadhiri mpango wake wa kuwania urais.