Ikulu imepinga kwa nguvu sana juu ya kashfa ya rushwa inayomkabili aliyekuwa waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa ambae kwa sasa ni Rais wa JMT Jakaya Kikwete, lakini pia katika ukanushi huo wa kurugenzi ya Mawasiliano-Ikulu imesema kuwa wanaofanya hivyo ni MAADUI WA RAIS JK.
Sasa swali linakuja au maswali yanakuja, je ni kina nani hao maadui wa jk, na kwa nini wanamfanyia uadui, ina maana waliosema haya mambo si waongo ila wamesema kwa uadui????
Je wana uadui binafsi na Jk au kiti alichokalia?????? Maana kwa sasa serikali imekua ya kulalama lalama tu,,,,,ingekuwa ni mtandao wa tanzania nahis wangesema ni chama fulani, nakumbuka miaka michache iliyopita Samwel sita nae kuna mambo yake yalimwagwa kwenye mitandao nae akasema ni maadui zake,,,,,,,,,,
NAOMBA KUTOA HOJA