Hao ni matapeli tu soyo kuendesha familia ili wanunue train na ndege na magari ya kifahari. UTAPELI MTÙPU
Sijapinga unachosema lakini pia tusimnyime nafasi Roho wa Mungu kutuongoza pia!Tofautisha kati ya fungu la kumi na sadaka
Sadaka unapeleka popote lakin fungu la kumi linaenda kanisani nyumbani ya bwana biblia ipo wazi kabisa
Kusaidi masikini yatimana vilema iyo ni sadaka siyo fungu la kumi
Fungu la kumi ni kwajir ya wachungaji wapate ela ya kuendesha familia zao na kuendesha injir
Kuendesha injir ni gharama kubwa sana so ndio maana Mungu anataka kuchangia sana injir kuliko kitu chochote coz injir inairajika sana dunia na kuokoa watu kutoka kwny utumwa wa shetani
Ni muhimu sana kuchangia injir coz ata yesu alisema aliwambia masikin sina cha kuwapa zaidi ya neno la uzima nalo litawaweka huru
Ndugu, hatutafikia muafaka katika jambo hili. Kama nitaongozwa na kitu kingine ambacho siyo Roho wa Mungu kupeleka fungu la kumi mahali pengine badala ya kanisani basi nitakuwa nimetenda dhambi. Lakini kama ni Roho wa Mungu kweli kweli hakuna doctrine kutoka kwa mtu yeyote atakayenifundisha tofauti na ninavyoelewa. Over!Isaya 8:20
"Na waende kwa Sheria na ushuhuda, Ikiwa hawasemi sawa sawa na neno hili, bila shaka kwao hakuna asubuhi"
Taratibu hata kama zikiwa tofauti, haziwezi kupishana na zile ambazo tayari zimeshawekwa na kufafanuliwa faida na hasara zake.
Roho wa Manabii huwatii manabii. 1 wakorintho 14:32.
nadhani kikubwa ni kutii taratibu njema alizoziasisi Mungu. Manabii au watuishi wa Mungu wote tangu mwanzo hadi ufunuo hawapingani, sitegemei atokee roho wa kutuongoza kwenda knyume na kanuni alizoziweka mwenyewe.
Mtazamo wangu lkn mkuu.
ubarikiwe mtu wa Mungu. Tuko miguuni kwa Yesu tunajifunza kila siku. Mungu anayesoma mioyo na nia akuongoze katika njia sahihi.Ndugu, hatutafikia muafaka katika jambo hili. Kama nitaongozwa na kitu kingine ambacho siyo Roho wa Mungu kupeleka fungu la kumi mahali pengine badala ya kanisani basi nitakuwa nimetenda dhambi. Lakini kama ni Roho wa Mungu kweli kweli hakuna doctrine kutoka kwa mtu yeyote atakayenifundisha tofauti na ninavyoelewa. Over!
Ni wa Agano jipya,Ila walicholeta miguuni pa watumishi hakijatajwa kama ni fungu la kumiAnania na safila hao sio wa agano jipya?
Nop fungu la kumi ni kwa ajiri ya walawiMkuu hata ukitoa kwa wahitaji ambao wasiojiweza ni sawa tuu.
Amina, naona anaendelea kunisaidia kutunza pesa kwa ajili ya gari. Sio kupelekea mchungaji.pole Sana mkuu, MUNGU akusaidie.
Ndivyo tulivyodanganywa na wachungaji miaka yote.Sadaka unaweza kutoa popote, ukampa yoyote...
Fungu la kumi pelekea kanisani au msikitini, hayo ndiyo mapato na matumizi yao...
Cc: mahondaw
Mkuu hata ukitoa kwa wahitaji ambao wasiojiweza ni sawa tuu.
Walokole Wanafiki kama Wasabato na wengineo.Ila jamaa unadharau sana inaonyesha. Eti Jadilianeni!!
Anyway, fungu la kumi kama "UMEOKOKA" sio questionable, na kama huna uhakika na huku unajiita umeokoka, bora urudi tu kwenye dini yako ya zamani maana you wont go anywhere.
Malaki ni jibu.