chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,961
Wakuu habari kuna bar moja nafungua na maeneo hapa DSM, sasa kuna namna ya ku save bajeti badala ya kununua viti na meza tukachukua vya TBL
sema naona hawa TBL kama wanazungusha flani hawaeleweki, maana walisema wanatoa baada ya sabasaba ila saba saba ikapita halafu bado hawatoi
sasa kwa wenye uzoefu na hawa jamaa, ilikuaje wakavipata au bora niachane nao tu?
Au kama kuna anayeuza tunaweza kuongea biashara