Ni namna gani unakupata viti na meza za TBL ukifungua Bar

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,959
Wakuu habari kuna bar moja nafungua na maeneo hapa DSM, sasa kuna namna ya ku save bajeti badala ya kununua viti na meza tukachukua vya TBL
sema naona hawa TBL kama wanazungusha flani hawaeleweki, maana walisema wanatoa baada ya sabasaba ila saba saba ikapita halafu bado hawatoi
sasa kwa wenye uzoefu na hawa jamaa, ilikuaje wakavipata au bora niachane nao tu?

Au kama kuna anayeuza tunaweza kuongea biashara
 
TBL imebadilika hao Waholanzi sijui Wamarekani ni wabahili tofauti na wale Makaburu. Hawafagilii promo sana
 
Hawana competition, wakupe ama wasikupe, kwa asilimia kubwa vinywaji utanunua kwao tu!
 
Wakuu habari kuna bar moja nafungua na maeneo hapa DSM, sasa kuna namna ya ku save bajeti badala ya kununua viti na meza tukachukua vya TBL
sema naona hawa TBL kama wanazungusha flani hawaeleweki, maana walisema wanatoa baada ya sabasaba ila saba saba ikapita halafu bado hawatoi
sasa kwa wenye uzoefu na hawa jamaa, ilikuaje wakavipata au bora niachane nao tu?

Au kama kuna anayeuza tunaweza kuongea biashara
TAFUTA SALES REP. UONGEE NAO NDIO WAHUSIKA
 
Watakuzungusha sana siku hizi kupata hivo vitu imekua ishu sana baada ya mabadiliko kwenye uongozi wao, tumia plan b kanunue wakati unaendelea kuwafatilia.
 
Tafuta email address za area sales manager na marketing manager wa TBL na SBL watumie kwa pamoja ikionyesha unania ya mmoja Kati ya hao atakaewah utamtumia

Pia tafuta email address za area sales manager na marketing manager wa coca na peps watumie hvyo hvyo

Ndan ya wiki utaona Tata na Benz zinavyoingia hapo kwaspid sema eneo liwe kubwa na location ya kuleta nyomi WENYEWE inshu yao n visibility tuu
 
Ipo stend mkuu,ila kutuma e mail sina imani sana maAna hazijibiwi, nitajaribu kuwacheki ofisini
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom