Ni nafasi yako kujipatia kiwanja arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni nafasi yako kujipatia kiwanja arusha

Discussion in 'Matangazo madogo' started by diranqhe, Jul 17, 2012.

 1. d

  diranqhe JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 29, 2012
  Messages: 660
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 60
  Yeyote anaesoma tangazo hili ni nafasi ya pekee tena kujipatia kiwanja eneo la Mbauda (kwa mrombo) pembeni ya barabara ya Oljoro. Kina ukubwa wa mita 38 kwa 14 na kinafaa kwa ujenzi wa hotel na biashara nyingine zinazofaa pembeni ya barabara. Bei ni milioni 45 ila maelewano yanakaribishwa. Kumbuka ardhi ni kitu ambacho hutakaa ujilaumu kwa kununua. AND FIRST COME FIRST SERVED!!!!!!PIGA 0757 528827 au 0783215950 kwa mawasiliano.
   
 2. w

  wasasa Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  mkuu 38 kwa 14 pajengwe hoteli?
   
 3. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #3
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Hapo ni usanii tupu, kwanza kwa Mrombo hapavutii kujenga hoteli na hiyo saizi ya kiwanja sijui anamanisha hoteli ipi, na kuweni makini mnaweza uziwa mahali ambapo pametengwa kujenga shuele za Serikali
   
Loading...