Ni mzee gani alimpa Nyerere makochi ya kukalia ambayo yapo kwenye nyumba ya Nyerere hapo magomeni?

Alafu anatokea mjinga mmoja huko asiemjua Mbowe wala historia ya Tz anajifanya kubwabwaja mfyuuuu!!!
Mpaka nimalize zamu yangu kwa hasira vigae vitatu vitakuwa havipo🏌️🏌️🏌️🏋️🏋️🏋️
 
Kwa nini hamujitolei nyinyi mukaandika hiyo historia? Mohammed Said yeye ataandika ambayo anayafahamu kabisa na yamemgusa kwenye maisha yake, na nyinyi andikeni za hao ambao maisha yao yamewagusa.
 
Sure kabisa

Nyerere kasitiliwa na wazee wengi Sana kuanzia hapo kariakoo Hadi huko uyui tabora

Mzee Mohamed kajikita kwa wazee wake tu wa hapo dar kariakoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…