Ni mwendo tuu.....!!!

Hiyo midomo utafikiri wanapiga mluzi tatizo nini... Kila mtu domo linavutwa mbele!!!!
 
Si wamejua tunayapenda sana, sasa subiri siku tukianza kupenda vichwa vikubwa kama helmet ndo utaona patashika mjini
 
ila mm nashukuru na vyenyewe na ukimwi ulikuwepogi lasi hivyo hao wangekuwa wanatutesa sana.
 
Tusio na kitu hapo tunaamua kusema hawana kitu hizo nyama tuu kama nyama zinginr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…