Ni mwanasiasa gani anaekuvutia katika siasa zake?

Musa anaekubali kupoteza utu wake ili awe katuni inayotisha mbele ya wapiga kura..
 
Habarin wanabodi.... Kumekuwepo na wanasiasa wengi katika vyama mbali mbali wamekuwa wakitumia nguvu nyingi ikibidi na pesa kuwavutia wananchi kujiunga na vyama vyao vya siasa pasipo ya wao kujua siasa zao zinawavutia wananchi? Sasa nawaomba tujue je ni wanasiasa/mwanasiasa gani mwenye mvuto kwa sasa na anatoka chama gani?:: haya sasa wanabodi kazi kwenu... Tupieni jina na chama chake
[CENTER
IMG_1390.jpg
[/CENTER]

Ananikosha sana huyu, sijaona kama yeye...
 
tundu lissu,, january makamba, john mnyika,Bernard membe,,na dr.slaa

mkuu the boss inatakiwa umetaje wa kwanza i mean mmoja kisha na chama chake... Ili ile kasumba ya kufanya kampeni bila kujua kama una mvuto kwa wananchi au la iishe. Tufikie sehemu kwanza tujisafishe then ndo tuiendee jamii maana katika tafit zangu naona wanasiasa wengi hawana ile spiritual ya siasa bali wanatumia siasa kama kipato mfano mzuri ni wanasiasa ambao wamekuwa wakihama kutoka chama kimoja kwenda kingine au hata kuanzisha chama kingine!!
 
sijui ziliishia wapi, labda alimaanisha akanunue sumbawanga kule radi ni 1500 unapewa na nyongeza ya mvua

ok hii mutu iko jiniasi sana kwa mawaziri wakuu walituongoza ni ya pili baada ya yule mutu wa mara mwalimu wetu mpendwa
 
KOSAM;655" [I said:
pasipo ya wao kujua siasa zao zinawavutia wananchi?" [/I]

Salaam! Hoja yake ni hiyo na inaelekeza attention kwa wale wasiojua kuwa siasa zao zinawavutia wananchi. Tuache ushabiki, baadhi ya wanasiasa tunaowataja hawana mvuto hata kwa watoto wa chekechea! Au mvuto tunaouzungumzia hapa ni hata ule wa kichekesho?
 
Navutiwa sana na utendaji wa Tundu Lissu,ana msimamo kwa jambo analoliamini,IQ yake iko juu,ni msafi na kwa namna anavowasumbua CCM angekuwa na tuhuma yoyote hakika angekoma! Amwombe sana mwenyezi Mungu awe ndiye mlinzi wake nami namwombe maisha marefu! Nadhani huyu bwana ndiye MUSA wetu

sapoti mkuu
 
Back
Top Bottom