Ni mwanamke mrembo haswa lakini ana ugonjwa wa kuunguza mboga

Hivi nyie mnaijua minduku nyie day moja nilipita ARC Hotel 88 Morogoro, nilienda na mkuu fulani wakati tunaenda Dodoma, nje ya Geti la hio hotel kuna kuna kigrocery mama yangu kuna kibindankoi ya hatari mkerewe fulani, nilitambaa na ujasusi nimeikamua kama 5times yaani nikiwa natoa wazungu kwa mademu wengine najikuta natafutia stimu kwa kuvuta picha yake, acheni mbunyenga iitwe mbunyenga jaribu mpite pale mlete majibu
 
Blazaaaa, tatizo umepagawa na chura plus rangi ya mtume na unywele,hapo hajawa mke unakaa naye ndani,akiwa mke kila siku anaunguza utamuelewa kweli pamoja na kwamba ni mrembo kama unavyosema? tatizo tako ndo linakuchanganya na rangi ya mtume jitafakali.

SIGNATURE BOY.
 
Mkuu ndio huyu mrembo kipusa uliye mualika mnamo april 12 2020?? Leo unaanza kumuanzishia nyuzi.


Sema nini vumilia tuu kama shep chura sura inalipa elimu si haba. Vingine vinarekebshika

komesha korona
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom