Ni mwanamke mrembo haswa lakini ana ugonjwa wa kuunguza mboga

Kwema wakuuu?

Katika pitapita zangu kumsaka mwenza wa maisha nikakutana na huyu mrembo aisee nakiri JF kuna watoto wazuri,huyu binti kutoka hapa jamuhuri ya watu wa jamii forums ni mzuri haswaa sifa yake kubwa kwanza ananyea mbalii(wazee wa mizigo hapo mshanielewa), rangi ya mtume, mtoto ananywele utasema kashonea sijui ndio maweaving ya kihindi kumbe zakwake Aisee! baharia nikabahatika kupendana na huyu manzi mpaka stage ile yakukaribia uchumba, mtoto anakuja getto(store) anakaa hata siku 3 anasepa

Shida inakuja huyu mtoto anaumwa,ni mgonjwa wa kuunguza mboga na sio kwa kupenda kwake ila kama kuna kitu kinamsukuma kufanya hvyo kwa walio angalia movie zilè za final destination wataelewa zaidi, yani hata akae hapo hapo muda wote lazima kuna kitu kitatokea tu cha kumuondoa hapo jikoni ili mboga iungue.

Mara ya kwanza alibandika nyama wakati anaanda mazaga mengine akasikia kelele nje kutoka kwenda kuangalia kuna mtoto wa jirani kameza gololi ikabidi atoe msaada pale kama dk 15 kurudi ndani nyama imekua mkaa.

Mara ya pili aliweka mboga za majani,akatoka nje kwa mangi kufuata unga aje asonge ugali kufika dukan hajamkuta muuzaji kaenda duka la mbali kidogo kurudi kakuta Chinese zimegeuka masizi.

Tulio la tatu alibandika maharage kama mnavyojua kibongo bongo maharage yanabandikwa nje kwenye mkaa yeye kaenda ndani akakaa anaangalia series bahati mbaya au ndio hilo dubwana linalomuandama akapitiwa na usingizi maharage yakakauka na kuungua vibaya mnoo.

Hayo matukio matatu yametokea mara zote alizokuja naamanisha wkend tatu zote alizokuja kwangu kaunguza..

Kuna wengine mshakutana na ugonjwa kama huu humu mlijitibu vipi?

Mimi nimemwambia apige nyungu kuondoa mikosi labda kuna mashoga zake wana jicho la husda hawataki aolewe mapema
Vipi ukimwacha ukatafta dem mwingine?
 
Hahaha haina noma Mkuu, siunaona ata Chibu Simba, ahangaiki Bali anahangaikiwa .
Kawaida mkuu...tunaacha nature ifanye kazi yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee mmoja aliniambiaga kua.. Siku alipoacha kuwafukuzia wanawake akaanza kuifukuzia thamani yake, alishangaa wanawake wakaanza kumfukuzia yeye !!!

Wakati mvuto kwa mwanamke umejengwa ktk Mwonekano wake yaan makalio anayo?? Guuu lipo?? Sura je ?? Sisi wanaume nguvu ya mvuto Wetu imejengwa katika "Wewe ninani? Unamiliki nn? Unafanya nn?na maswali Kama hayo".

Ukikosa vyote, basi mademu wakali wote utawaita Shem !!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwema wakuuu?

Katika pitapita zangu kumsaka mwenza wa maisha nikakutana na huyu mrembo aisee nakiri JF kuna watoto wazuri,huyu binti kutoka hapa jamuhuri ya watu wa jamii forums ni mzuri haswaa sifa yake kubwa kwanza ananyea mbalii(wazee wa mizigo hapo mshanielewa), rangi ya mtume, mtoto ananywele utasema kashonea sijui ndio maweaving ya kihindi kumbe zakwake Aisee! baharia nikabahatika kupendana na huyu manzi mpaka stage ile yakukaribia uchumba, mtoto anakuja getto(store) anakaa hata siku 3 anasepa

Shida inakuja huyu mtoto anaumwa,ni mgonjwa wa kuunguza mboga na sio kwa kupenda kwake ila kama kuna kitu kinamsukuma kufanya hvyo kwa walio angalia movie zilè za final destination wataelewa zaidi, yani hata akae hapo hapo muda wote lazima kuna kitu kitatokea tu cha kumuondoa hapo jikoni ili mboga iungue.

Mara ya kwanza alibandika nyama wakati anaanda mazaga mengine akasikia kelele nje kutoka kwenda kuangalia kuna mtoto wa jirani kameza gololi ikabidi atoe msaada pale kama dk 15 kurudi ndani nyama imekua mkaa.

Mara ya pili aliweka mboga za majani,akatoka nje kwa mangi kufuata unga aje asonge ugali kufika dukan hajamkuta muuzaji kaenda duka la mbali kidogo kurudi kakuta Chinese zimegeuka masizi.

Tulio la tatu alibandika maharage kama mnavyojua kibongo bongo maharage yanabandikwa nje kwenye mkaa yeye kaenda ndani akakaa anaangalia series bahati mbaya au ndio hilo dubwana linalomuandama akapitiwa na usingizi maharage yakakauka na kuungua vibaya mnoo.

Hayo matukio matatu yametokea mara zote alizokuja naamanisha wkend tatu zote alizokuja kwangu kaunguza..

Kuna wengine mshakutana na ugonjwa kama huu humu mlijitibu vipi?

Mimi nimemwambia apige nyungu kuondoa mikosi labda kuna mashoga zake wana jicho la husda hawataki aolewe mapema
huyu atakuwa Hornet tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom