Ni mwaka wa pili sasa nashindwa kusonga mbele

Ni mwaka wa pili sasa nashindwa kusonga mbele

Usijali utaweza,ongea na moyo wako kua sasa niwakati wa kusonga mbele na usifanye kosa la kumtafuta wala kutafuta shoga zake kutaka kujua nini kinaendelea kwenye maisha yake, mimi leo najiona mjinga kwanini nilikua nalia kwa ajili yake
mwenyezi mungu amenipa Mume nilikua sijui nini kudeka lakini kwa huyu mwenyezi mungu aniweke ndio dua yangu kubwa manake ananidekeza mpaka family yangu wanamwambia unamuharibu mkeo.. na yule alonitenda 500 ya Dala dala imtihani kwake... mpe mwenyezi mungu matatizo yako na atasikia kilio chako...

asante sana kwa ushauri wako mzuri...
 
Change your thinking change your life,miaka miwili yote unajiumizaaa yeye anakula bata tu huko sometimes kukubali matokeo ni ujasiri na ushindi .Kubali kuwa haikuwa riziki yako na anza upya kuna wanawake wako vizuri utashaangaaa ukitulia.
Na kumbuka Mungu atabaki kuwa Mungu hata kama hakukutimizia hitaji lako labda amekuepusha ili upate kitu chema zaidi.Think about it
 
khaaa! Nimechokaa kila siku na mastory yenu Ngoja nisubiri OCT 28 Mhe. Magufuli Akiapishwa
 
Kuna mtu special yupo kwa ajili yako sehemu....ni wakati wako wakumtafuta ukiendelea kuwa ulipo utamkosa
 
Bro unaniangusha, zama hizi ni za ujinga ndio Mungu annagiza watu wote watubu. Lakini pia kutokana na story yako inaonekana unamfaham Mungu, ni kweli Yesu kashindwa kubeba huo mzigo? Au unapapasa papasa...

Katika nyakati unatakiwa kuwa karibu na watumishi wa Mungu ni huu wa wewe kutaka kuoa lakini unapata vikwazo. Kaa karibu na watumishi kama umeshindwa wewe mwenyewe then watakupa msaada. Kama huelewi naongea nini npm nikuelekeze cha kufanya maana inaonekana unaweza kuelekezwa ukaelewa hasa mambo ya kiroho.

Yesu akawambia wale wanafunzi, namna hii haiwezekani isipokua kwa kufunga na kuomba.
 
Imepita miaka miwili tangu nilipoachana na mpenzi wangu, kiukweli huyu mdada nilimpenda kwa moyo wangu wa dhati, sikuwahi kumsaliti nilimwona kila kitu kwangu, kulingana na hali niliyokuwa nayo sikuweza kutangaza ndoa ila nilimwahidi maisha yakikaa sawa ndio jambo litakalofuata, nyumbani nilimtambulisha, na yeye alinitambulisha. Tuliwekeana maagano kwa njia ya maombi, tuliwashirikisha hata baadhi ya watumishi wa Mungu wakatuombea.Hakuwa mpenzi wangu wa kwanza lakn moyo wangu ulimpenda kwa dhati.

Sikuamini siku aliponitamkia kuwa mm na yeye basi akakimbilia kuolewa, niliumia sana mtoto wa kiume. Nilifunga na kuomba sana juu ya hilo lakn haikubadili chochote. ilichukua muda takribani mwaka mzima ndipo nikakubali hali...

Kilichotokea ni kuwa moyo wangu ulikufa ganzi hata kiwango changu cha imani kilirudi nyuma, nikawa nashindwa hata kufanya maombi yale ya kawaida. kwa upande wa mapenzi sikuweza kuwa na hamu ya kupenda tena. Nilipata ushauri nasaha kutoka marafiki na ndugu.

shuda yangu kubwa kwa sasa ni kuwa siwaamini wanawake hata kidogo, yaani nashindwa kabisa kuwa na mahusiano strong tena moyo wangu unashindwa kupenda sijui nifanyeje, natamani sana kuwa na familia lakn shida nashindwa kuwaamini wanawake, yaani nimejikuta niko mbali na wanawake, sina hatta marafiki, nimekuwa na tabia ya ukali na pia nimejikuta ninakuwa mtu wa kupata hasira ghafla vitu ambavyo sikuwa navyo. naomba kwa yeyote anayeweza kunishauri namna bora ya kurejea katika hali yangu ya kawaida plz.

n.b Matusi na kejeli sihitaji hapa plz tuheshimiane. nitashukuru kama psychologist utanishauri

Duh pole mkuu...ingawa me pia sijawa kwenye relation kitambo ila naona tunafanana kidogo...mihasira duh....mkali no friends ...duh...umri Wa kuoa umeshafika but hakuna hata marafiki sembuse mchumba!!! Kazi kweli kweli...tuombe Mungu mkuu.
 
Hukuwa na hali nzuri kwa wakati huo, ndio maana alisogea kwa mwenye hali nzuri ili atimize malengo yake.
 
Duh pole mkuu...ingawa me pia sijawa kwenye relation kitambo ila naona tunafanana kidogo...mihasira duh....mkali no friends ...duh...umri Wa kuoa umeshafika but hakuna hata marafiki sembuse mchumba!!! Kazi kweli kweli...tuombe Mungu mkuu.

dah pole sana, ni mambo yanayoumiza kiukweli...
 
Back
Top Bottom