bysange
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 4,456
- 1,565
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,kuna usemi unasema moyo wa mtu ni kichaka,kazi kwelikwelimkuu mimi pia huwa sitoi jibu sahihi kwa hilo swali...huwa najibu kulingana na mood!

mweee!hapo ujue michepuko ndio jadi yake
inabidi ukubali tu!kama jamaa ndo uelewa wake uko hivyo utamfanyaje!!