Ni muda wa kufufua mradi wa safari City Arusha

Ni muda wa kufufua mradi wa safari City Arusha

nimechafukwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
290
Reaction score
237
Habari Wakuu,

Safari City ni mradi wa Satellite City uliobuniwa na NHC mwaka 2016 ni miaka 10 imepita bila mradi kuendelezwa ukienda sasa hivi unakutana na mapori, barabara zimefunikwa na nyasi, ni muda sasa wa kufufua mradi huu muhimu kwani uko pembezoni panapojengwa uwanja wa Afcon nashauri serikali na wahusika waufufue huu mradi, kulikuwa na malalamiko watu waliolipia viwanja walikuwa wanazungushwa kuoneshwa viwanja vyao na kupatiwa hati ili waweze kuviendeleza.
 
Habari Wakuu,
Safari City ni mradi wa Satellite City uliobuniwa na NHC mwaka 2016 ni miaka 10 imepita bila mradi kuendelezwa ukienda sasa ivi unakutana na mapori,barabara zimefunikwa na nyasi, ni muda sasa wa kufufua mradi huu muhimu kwani uko pembezoni panapojengwa uwanja wa Afcon nashauri serikali na wahusika waufufue huu mradi, kulikua na malalamiko watu waliolipia viwanja walikua wanazungushwa kuoneshwa viwanja vyao na kupatiwa hati ili waweze kuviendeleza.
GOOD IDEA
 
Hizo Smart cities zisizo na kichwa wala miguu za nini?
 
Ule mradi waliplan NHC ujenzi wake kwa asilimis 60 unategemea wenye viwanja waanze ujenzi , na wenye viwanja wanasubiria NHC waweke miundombinu ndo waanze kujenga, ni kuviziana hapo. Maybe wenye viwanja waungane waone wanaanzia wapi, wakingoja serikali hii hiii ni miaka 59 ijayo
 
Back
Top Bottom