Ni muda gani Rais anaweza kupokea simu yake?

Ni muda gani Rais anaweza kupokea simu yake?

Watanzania mna kila haki ya kushangaa kila kitu kwani mtu anazaliwa, anasoma hadi uprofesa hajawahi kwenda hata Nairobi.kwa hiyo hilo nalo limekushangaza?

G.Bush alivyoruka toka kwenye gari alivyokuja Tanzania uliona? Obama alivyokuwa anamnong'oneza waziri mkuu wa uholanzi na mke wa Obama akakasirika na kwenda kukaa katkat yao uliona? ingekuwa bongo ungesemaje?

Mwaka 2006 Vradimir Putin wa Urusi alienda Japan, na kuanza kucheza dojo na waziri mkuu wa wakati huo, je, angekuwa wa kwetu si ungeshangaa sana KIBO?

Heb uliza vitu vya msingi upate majib ya msingi.

Mbona hujajibu swali lake?? umeulizwa A unajibu Z
 
Kwani yule ni raisi? Tuko kipindi cha majaribio tokea 2005
 
mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
 
Back
Top Bottom