ni mtazamo tu!

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
21,014
napata wazo kwamba wanaume wengi miaka hii huoa wanawake malaya?.nafikiri mwanamke malaya ni yule ambae ametembea nje ya ndoa au kabla ya ndoa. siku hizi mtu unaoa mwanamke ana maex watatu ,saba au hata zaidi! sasa
utasema hujaoa malaya?.
mbaya zaidi ukitaka ambaye sio malaya unaambiwa umba wako!. je wewe umeoa au unatarajia kuoa malaya?. tafakari, chukua hatua. ni mtazamo zamo zamo wanajamvi msiogope kivuli, bora ukemee mabaya na usifie maazuri.
 
je na wale wanaoolewa na wanaume waliotembea na wanawake kumi na tano elfu mia sita hamsini na tano(15655) wanaolewa na nani? malaya pia au? ni mtazamo pia mkosaji sio mwanamke tu. tusijingeane chuki.
 
your mistake is worse than mine, because you are a woman-doly parton. kwa mwanamke ni mbaya sana.
 
We UNA MA X WANGAPI? ULIOWAACHA WASIOLEWE SIO? Au we BIKRA? Hakuna alie msafi!
umewahi ona mtaala wa mwanamke mmoja na wanaume wengi?. hakuna aliye msafi ila kwa hii kitu wanawake huchafuka zaidi.
 
unaoa mwanamke anajjjua madushe yote. we unakazana kumbe mwenzio anakuchora tu.
 
anajua vidonge vya uzazi aina zote., morning after pills anajua brands zote!. siku hizi tunaoa majanga sana. ni mtazamo tu!
 
haaa haaa nilikuwa sijui kumbe dhambi ya kuzini ni ya mwanamke tu. basi uko sawa....mwanaume akiwa mzinifu anakuwa bonge la mjanja..........mie sina cha kujadili hapa....mjadala mwema.
your mistake is worse
than mine, because you are a woman-doly parton. kwa mwanamke ni mbaya
sana.
 
DEMBA ishu ipo kwa wote na wote ni makos ila tukiwa wakweli sijawahi sikia mwanamke akijali sana past ya mwanaume kama ilivyo kwa wanaume. wengine wanawaogopa wanaume waliowatoa bikira wake zao! yaasingekuwapo hayo kama wasingeoa malaya. naona bora ujichange uende jolliees ukaoe anaefanya umalaya kwa sababu ya pesa (ukahaba). kuliko kuoa anaefanya umalaya huku hafahamu kama anafanya umalaya. mtazamo tu.
 
Last edited by a moderator:
anajua vidonge vya uzazi aina zote., morning after pills anajua brands zote!. siku hizi tunaoa majanga sana. ni mtazamo tu!

anazifahamu condom aina zote.... anazijua gesti zote
 
haaa haaa nilikuwa sijui kumbe dhambi ya kuzini ni ya mwanamke tu. basi uko sawa....mwanaume akiwa mzinifu anakuwa bonge la mjanja..........mie sina cha kujadili hapa....mjadala mwema.

Kwa bahati mbaya sana Jamii yetu inachukulia hivyo.

Heri ya kuuona mwaka mwaya....
 
Anazifahamu sehemu zote wanakotolea mimba.
 
We UNA MA X WANGAPI? ULIOWAACHA WASIOLEWE SIO? Au we BIKRA? Hakuna alie msafi!
mshauri atafute mwanamke bikra wapo wengi tuu!tatizo wanaume huwa hatuulizi mapema kabla ya mahusiano
 
je na wale wanaoolewa na wanaume waliotembea na wanawake kumi na tano elfu mia sita hamsini na tano(15655) wanaolewa na nani? malaya pia au? ni mtazamo pia mkosaji sio mwanamke tu. tusijingeane chuki.

Hakuna mwanamme malaya. Tutake radhi walah
 
Mahali kama hapa ndo ule mstari wa, "Asiye na dhambi na awe wa kwanza kumrushia jiwe".

This is kind of unreasonable on your side taking into account that men are even more "experienced" than the women, Isn't it?

Kama unaona sio issue unaweza usioe pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…