Aombaye hupokea
Atafutaye huona
Abishaye atafunguliwa
Yasikilizeni sana maneno yangu, Jambo hili liwe faraja kwenu
Swadaqallahul-adhiim.Enyi watu wangu! Hakika haya maisha ya dunia ni starehe ipitayo tu, na hakika Akhera ndiyo nyumba ya daima. Quraan 40:39