Ni movie gani unaipenda sana lakini watu hawaipendi?

Transformers,Iron men,Men in black sizipendi ila zinapendwa na watu.
 
Muvi za kihindi huwa sizikubali ila kuna washkaji wanazielewa kichizi

Angel and demonds naielewa kichizi ila kuna jamaa huwa ananishangaa kwa nn naipenda hiyo muvi
 
Tamthilia na filamu za mapenzi za kibongo, kasoro vichekesho tu
 
I like Rango but am not sure they are hate.

Sent from my SM-J120F using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom