Ni movie gani ambayo ulishawahi kuiangalia halafu baadaye ukajuta kwanini umeiangalia?

#Life hii mzee nilijuta kuitazama kah!
nimetoka kuiangalia jana usiku, aisee nilijuta kwanini niliiangalia usiku maana nilikua nikifumba macho kulala naona kama nipo kwenye tukio na mimi daaah🙌🙌🙌
 
Call me by your name, stupido movie ever, niliona mahali wamezungumzia vizuri(upuuzi wa wazungu) at the same time nyimbo ya Montero ya Lil Nas iko trend, jina la pili ya Montero ni call me by your name. Aisee napenda kuangalia drama tena za 2000s kuja juu lakini hii movie nilijuta kupoteza mbs zangu. Usiangalie upuuzi huu
 
Wakuu kwema?

Niende kwenye mada husika,nauliza hivi ni movie gani ulishawahi kuiangalia lakini baada ya kuisha ukajuta kwanini umeingalia kutokana na mambo ambayo umeyaona humo yanaweza kua mauaji,usaliti,uchawi n.k.

Mimi binafsi ni mpenzi wa kuangalia filamu ile sana na nimetazama nyingi sana lakini kuna movie moja mpaka leo hua najuta kwanini niliiangalia.Filamu yenyewe inaitwa A SERBIAN FILM.

Wakuu siwashauri muingalie hiyo movie kama roho yako ni nyepesi na kama kuna mdau alishawahi kuicheck hebu njoo utoe mawazo yako uliionaje.

Na pia hebu taja movie yako ambayo unajuta mpaka leo kuitazama

Nawasilisha
Triangle
 
Life ndo ile wanaenda kwenye outer space afu vitimbwi vinaanza?
Yeah.... Ndio ile..... Wanacollect sample kutoka sayari gani sijui halafu wanapata kiumbe kikiwa katika cellular level kinakuwa taratibu na kuwawashia balaa.....
 
Back
Top Bottom