Akimaliza muda wake ni yeye peke yake mwenye kinga atapona lakini wengine wataelekea magerezani hususani ufisadi wa ACTL utawapeleka wengi jela huko mbeleni.Mwacheni Raisi afanye kazi yake, apewe muda, uongozi hauna formula, akimaliza muda weke tumpime.
hii ni vita dhidi ya mafisadi ambao hawamuungi mkono, kwa upande mwingine ni neema kwake yeye na mafisadi wenzake wanaomuunga mkono. huwezi kuwa na taasisi dhaifu alafu unaigiza kuwa unaleta mabadiliko.
Hati chafu zipo CCM kwani wakurugenzi wote wa CCM wilayani mikoani kila mwaka wana hati chafu, huyo CAG kaenda kulinda ufisadi wizara ya miundo mbinu hasa ACTL na ujenzi wa reli ambapo wamepiga sana bila hurumaCAG amestaafu kwa mujibu wa sheria
Kama wapinzani wanampenda wamwajiri maana kila mwaka wanapata hati chafu ya ubadhirifu wa pesa
CAG amestaafu kwa mujibu wa sheria. Kama wapinzani wanampenda wamwajiri maana kila mwaka wanapata hati chafu ya ubadhirifu wa pesa.
Magufuli mwenyewe fisadi.Hii vita ya Ufisadii ya JPM ni ya kipekee kabisa na huenda kuliko nchi yoyote ile Duniani kwa ni nini?
1. Vita ya ufisadi huenda sambamba na uhuru wa kutisha wa vyomba vya habari hilo huku halipo kabisa.
2. Vita ya ufisadi huenda sambamba na sheria kali mno za kudili na mafisadi. Huku hilo halipo bali ni one-man show tu.
3. Idara kama za ukaguzi hupewa nguvu za kupitiliza kabisa na hufikia sehemu wao wanakuwa na kitengo kinacho jitegemea kwa kila kitu. Hilo halipo kwenye hii ya Rais Magufuli.
4. Kuna kuwa na uwazi wa kutisha kwenye vita dhidi ya ufisadi hilo huku halipo kabisa. Bunge haliko live na yoyote anaye hoji pesa huitwa sio mzalendo.
5. Kwenye manunuzi ya umma kuna kuwa na uwazi mkubwa sana. Hilo halipo, ndege anachagua mwenyewe wanafanya kumtumia picha na yeye anachagua.
Sasa je, kwenye hii vita Rais Magufuli anatumia model gani?
CAG mpya anaenda kuficha ufisadi wote wa utawala huu ni CAG asiye msaada kwa jamiiModel ya kumtisha CAG ni model ya kuutetea na kuulinda ufisadi.
Ruzuku ya CCM inapigwa sana hata kinana alikuwa akiitafuna sana hakuna pesa inafujwa mchini kama pesa za CCMKabisa maana ruzuku zinapotea tu
Maisha ni upepo ya kesho uyajui,kama aliishi nyumba za kioo je,siti ya daladala haina mwenyewe,ikiingia team pinzani je?.Katiba ni makaratasi si musaafu ndo usiobadilika.Kinga ya kutokushtakiwa ni busara za atakaekuwepo maana vifungu vina uwazi mwingi tu hata vya kumlaza mtu mahabusu miaka bila kumsthaki.Hakuna sheria yeyeto isiyo na udhaifu wake.Akimaliza mda wake ni yeye peke yake mwenye kinga atapona lakini wengine wataelekea magerezani hususani ufisadi wa ACTL utawapeleka wengi jela huko mbeleni
Hii vita ya Ufisadii ya JPM ni ya kipekee kabisa na huenda kuliko nchi yoyote ile Duniani kwa ni nini?