popiexo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 742
- 182
Kweli kabisa. Mnyama mzembe kuliko wote ni binadamu. Na binadamu mzembe kuliko wote ni MTANZANIA
Na Mtanzania mzembe kuliko wote ni Baba R 1
Kweli kabisa. Mnyama mzembe kuliko wote ni binadamu. Na binadamu mzembe kuliko wote ni MTANZANIA
Kuna mnyama anaitwa NAZI?
Na Mtanzania mzembe kuliko wote ni Baba R 1
hujawahi msikia?
Anakaa zoo moja karibu na bahari huko posta dar.
Umekosa cha kuandika au? au ni hang over za w.end!!!Yaani unamaanisha FF na Rejao?
Nyumbu ni mnyama mzembe kuwindwa na hao wanyama uliowatajajamani ninapoangalia documentaries za wanyama mbugani na kuona jinsi simba na chui wanavyowanyanyasa wanyama wenzao, ni mnyama gani wewe unajua ni mzembe katika kuwindwa na simba na chui
hujawahi msikia?
Anakaa zoo moja karibu na bahari huko posta dar.