Ni mnyama gani mzembe sana katika maisha yake

Nyumbu ni wazembe hasa wanapovuka mto huwa wanakanyagana mpaka wanauwana,wakiona hungry lion hawajihami zaidi ya kushangaa.
 
nyumbu hata wawe kundi la wanyama 500 simba mmoja tu anawatawanya wote alafu ni wanyinga sana yaani ukiambiwa una akili kama za nyumbu pigana
 
Moth(aina ya kipepeo anaruka usiku) mara nyingi moth wanaungua na moto wa mshumaa/kibatari etc. Miaka mamilioni ya evolution hayakuepusha kiumbe hiki na hatari ya 'kuchezea' moto.
 
Kuna kenge,sielewi au ni mjinga,mana akiona mvua inakuja anaikimbia halafu anaingia baharini/ziwa kukwepa matone ya mvua.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom