Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,677
- 9,035
Dah we acha tu...nliona aibu kinoma afu kulikuwa na wamama pembenikalikuzomea siku moja mkuu?
Dah we acha tu...nliona aibu kinoma afu kulikuwa na wamama pembenikalikuzomea siku moja mkuu?
Hio editing Photoshop ni real ila sema ni kinyago cha kuchonga au kutengeneza tu hicho then kimepigwa picha kama ingekuwa video then tungejadili upyaa...Wanavodai eti ni kibwengo!!! Na anaeelewa sifa za kibwengo anifafanulie please!! Kwa mimi nimeona ni kama editing tu za wananzengo.