Ni mke wa Mtu lakini anataka nizae nae

Ni mke wa Mtu lakini anataka nizae nae

Karibu sana mkuu
Kwa hakika hata mim nilikumiss[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zaa naye tu Mkuu.

Kwani kati yenu kuna mwenye umri chini ya miaka 18 ???
 
Wanaume kusaidiana katika shida na raha ko usijali mr IQ ebu nitumie no zake tu me nikusaidie hilo jukumu yani nampatia mimba chapu bila masharti yoyte we fnya ivo.
 
Ni changamoto kweli kweli, niko kwenye mahusiano na mwanamke flani hivi ambae ni mke wa mtu yuko ndoani takribani miaka 15 kwa sasa lakini hajabaatika kupata mtoto

Nilimtongoza kama utani , na siku ya kwanza kukutana nae ndio siku hiyo hiyo nikampatia Ujauzito, ingawa haikuwa dhumuni langu lakini kumbe yeye alikuja kwa kutega. Na alikuja kuniambia baada ya kupima na kukutwa na ujauzito

Kweli alishukuru sana kwa kuwa hakuwahi kushika ujauzito kipindi chote alichokuwa ndoani na mumewe, ingawa mumewe ana watoto kadhaa nje ya ndoa yake,

nilifadhaika kiasi kwa kuwa alikuwa ni mke wa mtu, na maswali mengi nilikuwa najiuliza kuhusu huyo mtoto siku akizaliwa na ikigundulika kuwa ni wa kwangu itakuaje? Ingawa tayari mimba ilishakabidhiwa kwa mume wake wa ndoa na ndio mwenye jukumu la kulea.

Baada ya miezi minne ya ujauzito wake ilitokea shida mimba ikatoka (alikuwa anasumbuliwa sana na maumivu ya tumbo )

Nami ndio sasa nikapumua na kusema hakika nimetua mzigo uliokuwa unanielemea

Shida kubwa ndio imekuja sasa, huyo mwanamke baada ya kupona tu kipindi alichokuwa anajiuguza cha kuondokewa na ujauzito wake

Anataka tukutane nimpatie mimba Nyingine, anasema hawezi kuishi bila mtoto na mimi pekee ndie anahisi ninaweza kumfichia Aibu kubwa aliyokuwa nayo,.

Yupo tayari kwenda popote pamoja nami ili tu nimtimizie adhma yake ya kumpatia mtoto

Kusema kweli niko njia ya panda ukizingatia yeye ni mke wa mtu, kweli naweza mtimizia lakini nikifikiria huo uke ni uke wa mtu,
Siku mumewe akija kujua nimetembea na mkewe na mpaka kufikia hatua ya kumpa ujauzito sijui itakuwaje

Niko njia ya panda wakuu na sijui ata nifanye nini? Mwanzo nilijiona nimekosea lakini sasa sijui ata nifanye nini tena maana naumia hata mimi kila nikimtazama huyo mwanamke.

Ushauri wenu.

Cc Zero IQ
Dah unalimaje shambani kwa mtu
 
Usijaribu, atakavyokugeuka utashangaa, lazima utamghamia mtoto, acha hilo kuna swala la yeye ni mke wa mtu, yatakutokea puani ndugu...Ni hatari kabisa...
 
Ni changamoto kweli kweli, niko kwenye mahusiano na mwanamke flani hivi ambae ni mke wa mtu yuko ndoani takribani miaka 15 kwa sasa lakini hajabaatika kupata mtoto.

Nilimtongoza kama utani, na siku ya kwanza kukutana nae ndio siku hiyo hiyo nikampatia Ujauzito, ingawa haikuwa dhumuni langu lakini kumbe yeye alikuja kwa kutega. Na alikuja kuniambia baada ya kupima na kukutwa na ujauzito.

Kweli alishukuru sana kwa kuwa hakuwahi kushika ujauzito kipindi chote alichokuwa ndoani na mumewe, ingawa mumewe ana watoto kadhaa nje ya ndoa yake.

nilifadhaika kiasi kwa kuwa alikuwa ni mke wa mtu, na maswali mengi nilikuwa najiuliza kuhusu huyo mtoto siku akizaliwa na ikigundulika kuwa ni wa kwangu itakuaje? Ingawa tayari mimba ilishakabidhiwa kwa mume wake wa ndoa na ndio mwenye jukumu la kulea.

Baada ya miezi minne ya ujauzito wake ilitokea shida mimba ikatoka (alikuwa anasumbuliwa sana na maumivu ya tumbo )

Nami ndio sasa nikapumua na kusema hakika nimetua mzigo uliokuwa unanielemea.

Shida kubwa ndio imekuja sasa, huyo mwanamke baada ya kupona tu kipindi alichokuwa anajiuguza cha kuondokewa na ujauzito wake.

Anataka tukutane nimpatie mimba Nyingine, anasema hawezi kuishi bila mtoto na mimi pekee ndie anahisi ninaweza kumfichia Aibu kubwa aliyokuwa nayo,.

Yupo tayari kwenda popote pamoja nami ili tu nimtimizie adhma yake ya kumpatia mtoto.

Kusema kweli niko njia ya panda ukizingatia yeye ni mke wa mtu, kweli naweza mtimizia lakini nikifikiria huo uke ni uke wa mtu,
Siku mumewe akija kujua nimetembea na mkewe na mpaka kufikia hatua ya kumpa ujauzito sijui itakuwaje.

Niko njia ya panda wakuu na sijui ata nifanye nini? Mwanzo nilijiona nimekosea lakini sasa sijui ata nifanye nini tena maana naumia hata mimi kila nikimtazama huyo mwanamke.

Ushauri wenu.

Cc Zero IQ
Duuu,hivi mnaonaga raha gani kutembea na wake za wenzenu.angali,vipi ikiwa ni mke wako ukija jua hivyo ulifanyiwa wewe utajisikiaje.nadhani mbali ya kutengeneza uhalibifu wa future yako umeharibu pia hata reputation yako.Mwanamke wa hivyo anaweza kukupost hata kwenye mtandao mkizinguana au akizinguana na mumewe. Pia wanawake wengine unaweza dhani wazima kumbe ni wagonjwa wa akili
 
Back
Top Bottom