Ni Mkao gani mzuri kutummika kufanya mapenzi.ipi wakristo wanaweza kutumia?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni Mkao gani mzuri kutummika kufanya mapenzi.ipi wakristo wanaweza kutumia??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Dec 2, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  Kama mkristo yawezekana umeoa unakumbwa na swali kama hilo juu...wakristo mliooana mnaweza kutumia style yoyote,kutumia mkao ule ule kila wakati kunachosha kama vile kule mboga aina moja katika kila mlo

  waliooana wengi hufurahia mkao wa mume kukaa kwa juu faida ya mkao huo mume anaweza kutawala vitendo na hili humsaidia kuepuka kumwaga mbegu mapema

  MKAO MWINGINE MKE KUKAA KWA JUU..FAIDA YA MAKO HUU NI KWAMBA MKE ANAWEZA KUJENGA MSISISMKO WAKE KWA KUJIZUNGUSHA KAMA PIA AMA NDEGE AKITAFUTA RUNWAY YA KUTULIA....THROUGH VFR,

  MKAO MWINGNE NI UPANDE UPANDE...HII UUME HUKUNA KUNA SEHEMU ZA UKE NA BAADHI YA WANAWAKE HUCHANGANYIKIWA KABISA KABISA NA KUHISI WAKO SAYARI NYINGINE;USIWE MWOGA FANYA AMA SEMA KWA MKEO KUMJULISHA UNATAKA KUFANYA MAPENZI YA DESIGN..UWE MBUNIFU ...ILA USIZIDISHE AKIPATA MIMBA ...UTAMTOA MTTOTO...

  ALAMSIKI WAPENDWA
   
 2. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  asante, ila avatar yako na hii post hahahaha, unaonekana wewe ni mpole sana, inatia huruma sana...kweli kabisa WAKRISTO tumieni tu....
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  Aika mbe kanyi..uwiii
   
 4. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #4
  Dec 2, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  wewe kama sio mpare bahati mbaya!
   
 5. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #5
  Dec 5, 2009
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,809
  Likes Received: 2,584
  Trophy Points: 280
  Missionary position bila shaka!Livingstone reccomended!
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Dec 5, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Wakristo??????????
  Kwani wakristo wana nini cha ajabu mpaka washauriwe hivi?

  Kwa nini isingekuwa ushauri kwa watu wote????????
   
 7. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #7
  Dec 5, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Kuna wakati walipewa guidance kuwa style inayorusiwa ni "missionary" [​IMG] peke yake ndo maana ina jina hilo, kwa sababu ilikuwa recommended na missionaries. Si unajua dini na shame of your sexuality vinaenda pamoja.
   
 8. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #8
  Dec 5, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280

  wakristo wote?au walokole?

  Mimi ninavyojua hizo porno zote zinatengenezwa
  na wakristo.......
  I mean zote....
   
 9. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #9
  Dec 5, 2009
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  aliposema wakristo alimaanisha ni style ya MISSIONARY looooh! uko mabli mkuu
  au Pdidy hukumaanisha hivyo?
   
 10. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #10
  Dec 5, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Ni wote nadhani, sema ni zamani kabla ya hizo porn, hazina dini hizi, kila mtu anafyatua!
  Ilikuwa ni guidance tu, hakuna anayefuata hizi guidance nadhani.

  Kuna comedian anasemaga "The Pope is the most popular guy that no one agrees with."
   
 11. O

  Omumura JF-Expert Member

  #11
  Dec 6, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hata mbuzi kagoma nayo ni moto wa kuotea mbali.
   
 12. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #12
  Dec 6, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  PDiddy, Pole!
  I hope that you are still ok fella!
  When are you marrying?
  Or is this a kinda preparation!
  Huh..the bachelors bwana!
   
 13. Chimo

  Chimo JF-Expert Member

  #13
  Dec 6, 2009
  Joined: Aug 31, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 60
  mimi Na Prefer Lyon Stage coach Watu Mnatazamana Mkao Mkali Saana Ila sidhani kama Wakristo Wanatakiwa wasifanye mapenzi katika mikao Maana movie za Porno zote zinatoka hukoooooooooooooo Magharibiiiiii hata Tuzo za Filamu chafu za ngono AVN hutolewa hukoooooooooo Magharibiiiii
   
 14. JT2014

  JT2014 JF-Expert Member

  #14
  Mar 2, 2014
  Joined: Jan 18, 2014
  Messages: 1,868
  Likes Received: 1,040
  Trophy Points: 280
  Mi nadhani cha kujiadhari nacho ni kamchezo alikozuia mseveni basi,mikao itegemee na watumiaji ili mradi asiwepo wa kuumia.
  ukikuta mkao wowote unamuumiza yeyote katika wabia wa tendo basi huo achana nao mara moja.
  nawatakia kila la kheri.
   
 15. g

  guasa JF-Expert Member

  #15
  Mar 2, 2014
  Joined: Dec 30, 2013
  Messages: 1,868
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  yaah!mikao mizuri sio ya kuumizana.kuna jamaa mtaani alikuwa kiwembe siku moja jamaa zake wakaamua kumtoa nishai wakamchukua mkewe kisha wakamwita jamaa aje aone mkewe anatoa mambo jamaa limemkunja mkewe sura haionekani jamaa akakataa"huyu sio mke wangu sababu mke wangu sio kilema"duh kuna mikunjo jamani.
   
 16. sirluta

  sirluta JF-Expert Member

  #16
  Mar 2, 2014
  Joined: Nov 28, 2012
  Messages: 6,099
  Likes Received: 1,445
  Trophy Points: 280
  Mchuchumo
   
 17. mwallu

  mwallu JF-Expert Member

  #17
  Mar 2, 2014
  Joined: Sep 5, 2013
  Messages: 6,770
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  ukristo unahusikaje hapo?
   
Loading...