Ni mimi tu ninamkosi na wachaga au ndiivyo walivyo?

fimbo ya mbali haidedish snake .
pole kaka bt she iz away n
full in love wth somebody else
kubali hali,meza maumivu then move on
pole bt ukweli ni uo ( ANGEKUWA ANAKUPENDA KWELI ANGEKUSHIRIKISHA KILA KITU NA ASINGEKUWA MZITO KIMAWASILIANO ITS JUST LABDA KAJA UKU DAR KWA JAMAAA YAKE SO HAWEZ KUWA ON NA MAWASILIANO JUU YAKO)

Dr, Haya hapo juu ndio majibu sahihi ya tatizo lako, nyingine zoote hadithi na elimu mwanana wana JF wanakupa juu ya mtazamo wako kuhusu makabila (sijui mara ya mwisho ulifika lini bongo, lakini mimi naona kwa mtazamo wangu makabila yote kwa sasa mabinti wana tabia zinazofanana waliyorithi toka globalization). Anza upya sahau kabila chapa kazi!
 
DAH!!polee sana kamanda...tatizo sio mwanamke wa kichaga hata mzaramo pia anaweza kukufanyia hivyo.inawezekana msichana ajajua kama uko serious nae katika ndoa,pilii distance LOVE banaa.wee ukiona ajishuhulishi nawewee fungua njia chapaa lapaa.tafuta wingine mbona wako kibao,HUU sio MDAA wa kubembelezana na mwanawake TAFUTA PESAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

Asante mkuu kwa ushauri wako, nitaufanyia kazi na pia nitakazana kupiga box zaidi ili hata nitakapompata huyo mrembo mwingine basi tule kuku na bata kwa raha zaidi.
Thankx.
 
Dr, Haya hapo juu ndio majibu sahihi ya tatizo lako, nyingine zoote hadithi na elimu mwanana wana JF wanakupa juu ya mtazamo wako kuhusu makabila (sijui mara ya mwisho ulifika lini bongo, lakini mimi naona kwa mtazamo wangu makabila yote kwa sasa mabinti wana tabia zinazofanana waliyorithi toka globalization). Anza upya sahau kabila chapa kazi!

Thankx Bro,
Nimekusoma vilivyo mkuu, na pia sina budi kumshukuru Madam Rose 1980 kwa kutolifumbia macho suala hili na kutanabaisha mchango wake wa mawazo ambao kwa kiasi kikubwa nadhani huenda ikawa ni source ya hili tatizo nililolipata.

I appreciate U're contribution too.
 
Asante mkuu,

Nadhani hiyo nayo itanisaidia kunikeep busy na kumsahau huyo mrembo ila tu dah Roho yaniuma kama nini maana mtoto mwenyewe alikuwa kajazia kila idara hasa ila ya kijunguuuu ukuuu sasa sijui kama nitabahatika kupata ile kitu roho inapenda tena!!

ah,hawa watoto hawaeleweki,we utampata 2 ucjali!
 
hivi wewe unamuhita demu mpenzi wako wakati hata hujammega? unategemea atakaa tu bila kumegwa akikusubiri wewe uliyeko mbali na TZ? huyo demu kama unampenda mtumie tiketi akufuate au rudi nyumbani umuoe sio unaishia mapenzi ya simu tu wakati mtu anataka kusuguliwa UNAIBIWAAAAAAAAAAAA

Hapo anaibiwa nini? umeshasema kuwa demu ambaye hujammega huwezi unakamuita mpenzi wako, hivyo inaaanisha huyo mschana si mpenzi wa jamaa.
 
fimbo ya mbali kaka wajua haiui nyoka. bongo huku mapenzi machache mnooo ukirudi uje utafute mwingine huyo anakutapeli tuu
 
Duh!Kaazi kweli kweli!Anatafuta maisha yake kwanza..!Alafu nyie wanaume bwana...hamna jema kabisa...tukiweka kuolewa mbele mnakimbia,tusipoonyesha nia mnauliza kulikoni!Jibu ni kwamba wanaotaka kuolewa lakini wanachelewa wanataka kujipanga kwanza kimaisha kabla ya kutulia kutengeneza familia...wengine hawataki kabisa!Na tunachotaka zaidi ya mapenzi ni maendeleo kwahiyo zichange ufanye mambo ya maana ndo utamnasa vizuri!

Wapo kimaslahi zaidi.
Hata ungemuoa akitokea mwingine anatoa mchango wake kwa huyo c.h.a.g.a.s mambo ni hayo hayo...tena jamaa angeumia zaidi.
Angejifanya anachacharika ...au yuko busy.
Kwa 7bu kutafuta hakuna mwisho...
Kuna ubaya gani akiwa ndani ya ndoa huku akisaidiana na mumewe?
Ndio hivyo tena....mambo ya utandawazi!.
 
Waheshimiwa Wana JF,

Mimi Naomba msaada wenu wa Ushauri ili niondokane na hii hali ya utumwa wa kupenda. Kuna mtoto mmoja wa kichaga simuelewi nini lengo lake! Nilikuwa na mahusiano naye toka mid. April, sijahusiana naye kwa tendo takatifu hadi sasa. Mie nipo huku napiga box, yeye alikuwa huko Waja leo na sasa yupo DSM lakini kilichonishangaza awali alikuwa akiniambia kuwa next week or kesho naenda DSM kuna kazi nimetumwa kuifuatilia.

Baada ya hapo safari zikazidi, mawasiliano hadi mie nianze, mbaya zaidi kanistukiza ghafla eti kahamia kikazi Dar, na hapo napewa taarifa wakati tayari yupo DSm anasema "aaa haa nipo ofisini kazini, nimechoka hata kutuma msg muda sina"! Je ndio mapenzi ya wachaga yalivyo? Najiuliza au sababu mie sio mchaga? Ni kitu gani hasa wanawake wa kichaga wanapenda zaidi toka kwa wanaume ukiachilia mbali mapenzi? Mwisho naomba kuuliza hivi kwanini wanawake wengi wa kichaga huwa hawaolewi haraka na utakuta umri unakwenda yeye bado haolewi lakini mali ukiomba anagawa kama kawaida lakini ndoa hazifungwi?

plse wana JF naomba mnijuze ili kama vipi nihame huko migombani na nisipende tena hii kabila!

Ndivyo yalivyo. Unasemaje nikuletee na dada yangu ujaribu ili uthibitishe? Nakushauri jaribu wazaramo, kama unaamini mapenzi ya kikabila katika karne hii. Lakini usije tena hapa unalialia:embarrassed::embarrassed:
 
Back
Top Bottom