Ni mimi tu ninamkosi na wachaga au ndiivyo walivyo?

Ndugu Dr. Saikos One, nafikiri jibu la swali lako unalo mwenyewe kupitia kichwa cha habari cha mada yako "Ni mimi tu ninamkosi na wachaga au ndiivyo walivyo?"

Hapo nilipoweka nyekundu ndo jibu lilipo. Pengine wewe ndio una mkosi...!
 
Hapo sasa Mkuu unanipa mtihani mkubwa sana, kwa hiyo inabidi nikaoge maji ya baharini kuondoa mikosi ili nikamate jiko/ totoz za kichaga au una maana gani mkuu? Help me plse!!
 
fimbo ya mbali haidedish snake .
pole kaka bt she iz away n
full in love wth somebody else
kubali hali,meza maumivu then move on
pole bt ukweli ni uo ( ANGEKUWA ANAKUPENDA KWELI ANGEKUSHIRIKISHA KILA KITU NA ASINGEKUWA MZITO KIMAWASILIANO ITS JUST LABDA KAJA UKU DAR KWA JAMAAA YAKE SO HAWEZ KUWA ON NA MAWASILIANO JUU YAKO)
 
Waheshimiwa Wana JF,

Mimi Naomba msaada wenu wa Ushauri ili niondokane na hii hali ya utumwa wa kupenda. Kuna mtoto mmoja wa kichaga simuelewi nini lengo lake! Nilikuwa na mahusiano naye toka mid. April, sijahusiana naye kwa tendo takatifu hadi sasa. Mie nipo huku napiga box, yeye alikuwa huko Waja leo na sasa yupo DSM lakini kilichonishangaza awali alikuwa akiniambia kuwa next week or kesho naenda DSM kuna kazi nimetumwa kuifuatilia.

Baada ya hapo safari zikazidi, mawasiliano hadi mie nianze, mbaya zaidi kanistukiza ghafla eti kahamia kikazi Dar, na hapo napewa taarifa wakati tayari yupo DSm anasema "aaa haa nipo ofisini kazini, nimechoka hata kutuma msg muda sina"! Je ndio mapenzi ya wachaga yalivyo? Najiuliza au sababu mie sio mchaga? Ni kitu gani hasa wanawake wa kichaga wanapenda zaidi toka kwa wanaume ukiachilia mbali mapenzi? Mwisho naomba kuuliza hivi kwanini wanawake wengi wa kichaga huwa hawaolewi haraka na utakuta umri unakwenda yeye bado haolewi lakini mali ukiomba anagawa kama kawaida lakini ndoa hazifungwi?

plse wana JF naomba mnijuze ili kama vipi nihame huko migombani na nisipende tena hii kabila!

una hela weye?????? acha wenye minoti wamuhamishe huku na kule...
 
Mkuu sioni hayo matatizo ulionayo na huyo msichana yana husiana vipi na uchaga wake .Thread kama hii ndio zinaletaga chuki za ubaguzi.Wewe unatatizo na mchaga mmoja halafu tabia yake ndio una generalize kwa wachaga.
Halafu unajiita doctor, Shame on you!

He-he-he makubwa.
 
Inakuuma nini sasa, kwani wewe huko uliko unaishije? Na yeye atajua vipi kama hauna mahusiano na mtu mwingine? Ndo maana na yeye anaamua kufanya mambo yake napia kua na mtu mwingine then achague yupi yuko serious. Hajakuacha ila amekupiga bench tu kidogo acheki vikimshinda huku atakurudisha mzigoni. Istoshe nyie pia hamueleweki unaweza mkalisha mdada wa watu wee anakusubiri tu then unarudi unaoa mwingine, so fikiria haya halafu maumivu yataisha. Ukizingatia ukute hata perfume hujawahi mtumia ni story tu kwa sim kila baada ya wiki. Ukirudi katafute kijijini.
 
fimbo ya mbali haidedish snake .
pole kaka bt she iz away n
full in love wth somebody else
kubali hali,meza maumivu then move on
pole bt ukweli ni uo ( ANGEKUWA ANAKUPENDA KWELI ANGEKUSHIRIKISHA KILA KITU NA ASINGEKUWA MZITO KIMAWASILIANO ITS JUST LABDA KAJA UKU DAR KWA JAMAAA YAKE SO HAWEZ KUWA ON NA MAWASILIANO JUU YAKO)

Asante kiongozi,
Maneno yako yamejaa busara na hekima, nazidi kumuomba mungu ili ukweli ujulikane lakini bado nipo njia panda as you said she is not open. Kwangu hilo ndio tatizo coz kama angekuwa ananiweka wazi kuwa ananipa kibuti, ni sawa ningekaa kimyaa, sasa anaishia kuniumiza tuuu na mapenzi ni kama sumu yaweza ua mtu @
 
Inakuuma nini sasa, kwani wewe huko uliko unaishije? Na yeye atajua vipi kama hauna mahusiano na mtu mwingine? Ndo maana na yeye anaamua kufanya mambo yake napia kua na mtu mwingine then achague yupi yuko serious. Hajakuacha ila amekupiga bench tu kidogo acheki vikimshinda huku atakurudisha mzigoni. Istoshe nyie pia hamueleweki unaweza mkalisha mdada wa watu wee anakusubiri tu then unarudi unaoa mwingine, so fikiria haya halafu maumivu yataisha. Ukizingatia ukute hata perfume hujawahi mtumia ni story tu kwa sim kila baada ya wiki. Ukirudi katafute kijijini.

Mkuu,
Unajua philosophy ya mapenzi ni pana sana. Haina maana kuwa mwanamke ukimnunulia perfume au Rav4 ndio unampenda au yeye anakupenda @! Pia ile dhana kuwa mwanamke wa kudumu katika ndoa ni yule wa kijijini hiyo dhana nayo imepitwa na wakati mkuu. Wale wa jana sio wa leo Kiongozi wangu!

Wanasema mapenzi ni kupendana so haijalishi we ni wa wapi au unanini hivyo ndio mimi nijuavyo au siku hizi mapenzi ni PESA??? plse wapendwa naomba niwekwe wazi juu ya hili.
 
Endelea kupiga box tu - Wazuri wapo wengi!

Asante mkuu,

Nadhani hiyo nayo itanisaidia kunikeep busy na kumsahau huyo mrembo ila tu dah Roho yaniuma kama nini maana mtoto mwenyewe alikuwa kajazia kila idara hasa ila ya kijunguuuu ukuuu sasa sijui kama nitabahatika kupata ile kitu roho inapenda tena!!
 
Mkuu,
Unajua philosophy ya mapenzi ni pana sana. Haina maana kuwa mwanamke ukimnunulia perfume au Rav4 ndio unampenda au yeye anakupenda @! Pia ile dhana kuwa mwanamke wa kudumu katika ndoa ni yule wa kijijini hiyo dhana nayo imepitwa na wakati mkuu. Wale wa jana sio wa leo Kiongozi wangu!

Wanasema mapenzi ni kupendana so haijalishi we ni wa wapi au unanini hivyo ndio mimi nijuavyo au siku hizi mapenzi ni PESA??? plse wapendwa naomba niwekwe wazi juu ya hili.

Hukunielewa, mapenzi si pesa, lakini ndugu vikorombwezo muhimu vizawadi zawadi, mara hiki kile si unajua tena kutunza kumbukumbu ya la aziz? Hata kitu kidogo kingemfanya akukumbuke hata awambie friends wake mbeba ma box kanitumia teh teh. Mkono mtupu haulambwi.
 
Huyo hakupendi. Mwanamke akikupenda hawezi kujizuia. Mbaya zaidi kama tangu mwanzo umemwonyesha uko weak sana kwake, au kwa neno la kiingereza kama umeonesha uko "desperate", atakuchezea makusudi lakini humpati ng'oooo!
 
Pole sana
Mkuu,
Labda ingekuwa huyu anayejiita Doctor ni mzungu ikawa ameachwa na demu mweusi, akaja hapa na thread yenye kichwa cha habari “NINI MIMI TUNINAMKOSI NA WEUSI AU NDIVYO WALIVYO ?" halafu habari yenyewe inamuhusisha msichana mmoja mweusi ambao walikuwa penpals. Bado ungempa pole huyu mzungu?
 
Waheshimiwa Wana JF,

Mimi Naomba msaada wenu wa Ushauri ili niondokane na hii hali ya utumwa wa kupenda. Kuna mtoto mmoja wa kichaga simuelewi nini lengo lake! Nilikuwa na mahusiano naye toka mid. April, sijahusiana naye kwa tendo takatifu hadi sasa. Mie nipo huku napiga box, yeye alikuwa huko Waja leo na sasa yupo DSM lakini kilichonishangaza awali alikuwa akiniambia kuwa next week or kesho naenda DSM kuna kazi nimetumwa kuifuatilia.

Baada ya hapo safari zikazidi, mawasiliano hadi mie nianze, mbaya zaidi kanistukiza ghafla eti kahamia kikazi Dar, na hapo napewa taarifa wakati tayari yupo DSm anasema "aaa haa nipo ofisini kazini, nimechoka hata kutuma msg muda sina"! Je ndio mapenzi ya wachaga yalivyo? Najiuliza au sababu mie sio mchaga? Ni kitu gani hasa wanawake wa kichaga wanapenda zaidi toka kwa wanaume ukiachilia mbali mapenzi? Mwisho naomba kuuliza hivi kwanini wanawake wengi wa kichaga huwa hawaolewi haraka na utakuta umri unakwenda yeye bado haolewi lakini mali ukiomba anagawa kama kawaida lakini ndoa hazifungwi?

plse wana JF naomba mnijuze ili kama vipi nihame huko migombani na nisipende tena hii kabila! Waheshimiwa Wana JF,

Mkuu nadhani umenisoma sivyo ndivyo. Kumbuka Tanzania ina makabila zaidi ya 120 lakini wachambuzi wa mambo ya mahusiano wanajua almost kila kabila lina tabia zipi kuu katika suala la mapenzi au ndoa. Binafsi sikuwa na maana ya kuponda wachaga ila nilikuwa namaanisha msichana niliyekuwa nimempenda ni wa kabila hilo ili niweze kupata mchango wa mawazo ulio na reference sahihi ya mtu maeneo atokayo kuliko wadau waanze kuuliza huyo ni wa wawapi.

Anyway, kama kuna watu nitakuwa nimewakwaza kwa hilo sina budi kuadmit kuwa sitarudia kufanya hivyo bali kwa sasa naomba mawazo yenu ili yaweze kunipa mwanga wa nini cha kufanya.

Mimi naona unachofanyiwa na huyu binti hakihusiani na uchaga, binti yeyote kutoka kabila lolote anaweza kukufanyia hivyo, mchunguze kwa makini ujue anataka nini.
Halafu umalizapo kuandika sit back and read over and over, ukiangalia ulichoandika kinawaponda mabinti wa kichaga moja kwa moja halafu later unasema sorry kama umemkwaza yeyote na hukumaanisha hivyo, soma tena na tena kabla ya ku-submit post yako ili usi-offend watu au usije kusema sorry baadae.
 
DAH!!polee sana kamanda...tatizo sio mwanamke wa kichaga hata mzaramo pia anaweza kukufanyia hivyo.inawezekana msichana ajajua kama uko serious nae katika ndoa,pilii distance LOVE banaa.wee ukiona ajishuhulishi nawewee fungua njia chapaa lapaa.tafuta wingine mbona wako kibao,HUU sio MDAA wa kubembelezana na mwanawake TAFUTA PESAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
hivi wewe unamuhita demu mpenzi wako wakati hata hujammega? unategemea atakaa tu bila kumegwa akikusubiri wewe uliyeko mbali na TZ? huyo demu kama unampenda mtumie tiketi akufuate au rudi nyumbani umuoe sio unaishia mapenzi ya simu tu wakati mtu anataka kusuguliwa UNAIBIWAAAAAAAAAAAA
 
kama vipi mjita wangu we huyu mpotezee tu kiaina
halafu huko mamtoni si ndo wanasemaga kuna toto za nguvu?
we kamata toto moja la kilatino halafu poteza
tabia za huyu shori wako usisingizie ma aikambe watoto wote wa kibongo
wanaishi on the fast lane siku hizi
 
Back
Top Bottom