Ni mimi tu au kuna na wenzangu

Ni mimi tu au kuna na wenzangu

koba lee

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2016
Posts
982
Reaction score
1,610
Kumekucha wakuu!
Kuna hii kitu huwa nafanya afu baadae naanza kujuta,unakuta naanzisha mahusihano na mwanamke siku ya kwanza kwenye mgegedo hua niko makini na huwa sikubali kabisa kwenda dry na siku nyingne kama tatu au nne lakin baada ya hapo naanza kumzoea taratiiiibu ndomu inaanza kusahaulika naanza kuvua pipi ganda lake,sasa sijui ndo kuanza kumuamin au ni vp,au shetani wa mahabati ananizid nguvu.
Nauliza bandugu hivi ni mimi tu au tuko wengi wa namna hii.
Nawasilisha.
 
Ukitumia dom maana yake humuamini, ila mimi sijawahi tumia hiyo kitu ila huwa nakikisha mpaka analoa ndo namisha bila shida kabsa.
 
uko na mimi mkuu na mazoea hayo mwanzo natumia ndom baada ya mda namuamini nini sijui napiga dry
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom