doup
JF-Expert Member
- Feb 26, 2009
- 2,718
- 2,898
Inaonekana umeshajichoka. Huoni thamani ya kuishi. Pili utakuwa huwathamini wenzako unawaweka hatarini kwa kuwaambukiza magonjwa kama wewe tayari unayo.
Dont be selfish. Hata wewe unaweza kuwaambukiza.
Soln kabla ya gegedo la kavukavu nendeni mkapime kwanza.
Dont be selfish. Hata wewe unaweza kuwaambukiza.
Soln kabla ya gegedo la kavukavu nendeni mkapime kwanza.