Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,886
what now bebii......
karibu nyumbani......
Mkuu!
BT nimevumilia sana kukuuliza lakini hua domo langu linakua zito! Leo niachie nikufungukie! Mtoa mada KUM'RADHI !
Ni hivi,
Mimi kila nikitumbukia Jeiefu kidume lazima nikukute online ! Ofcoz takriban unakua active 3 quator ya 24 hrs ,
aidha Ndetichia, BAGAH, B52 , SL, Preta, SS, Bandama No i mean Kongosho Nao hawachezi mbali na Jeiefu!
Hebu kwa kuanzia kwako nipeni urembo wa siri , wenzangu kazi mnafanya saa ngapi ?
Mnamudumudu viaje kuratibu masaa ya job na masaa ya Jeief ? Yaani nawaheshimuni .

kazi na dawa, huku nasimamia shughuli zangu huku naperuzi jf, kuna vingi vinanipanua mawazo humu na kuna idea nyingine nachukua humu......
akili mukichwa.....
halafu na wewe judgement, ulijuaje sie tunashinda humu? bila wewe kuwa mshindaji? loh!!!!!!!
kazi gani tena Jg...?hapa unaponiona masaa mingi mpaka unasifia ndo ofisini...umemsahau mkeo...LOL
BT, mie zangu hua nakuja kimaviziaji na Sababu kubwa shughuli zangu ndiyo hunikwamisha kuvisit humu x kwa x ! Kazi zangu ni za kuchafua mikono!
Greece ndiyo hua my first enemy b'twin me with Jeief, unakuta nimenawa mikono saa hii, nashika tu cm vinazuka tena vya kuchafua mikono.