..Ni mimi tu au hata wewe?...

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
37,480
78,722
katika Gari kuna kifaa cha zimamoto...hiki kifaa ni muhimu kuwa nacho kwa ajiri ya usalama wa gari yako...hasa katika majanga ya moto...na pia katika majengo mengi hiki kifaa kiko....

ila kwa kweli mimi cjui kukitumia ingawa nakiona kila siku

Je nini tu au hata wewe hujui kukitumia?
 
Hicho ni muhimu sana....ila umuhimu wa kitu huonekana pale kinapokusaidia...
Ni vema kuwa nacho hata kama hujapata janga lolote.....
 
Ulikoenda driving school nategemea walikufundisha hilo,it is very important ndugu tafta mtu akuelekeze..it is so simple ila madhara ya kutojua kutumia ni makubwa sana
 
Ulikoenda driving school nategemea walikufundisha hilo,it is very important ndugu tafta mtu akuelekeze..it is so simple ila madhara ya kutojua kutumia ni makubwa sana

nimejifunzia home mkuu...na wakati napewa leseni ya Uderva..siku ulizwa kama najua kukitumia...
na je kwenye majengo watu wanajua kutumia ?
 
hilo ni tatizo mkuu...mm niliisoma chuo kwenye SAFETY coz...ila nimesahau kabsaaa!...najua tu kuna formula PASS...sijui Press Apply afu sijui nini apo!
 
lakini wangapi tunajua kukitumia ipasavyo...likija janga?

bebii....ina maana sticker yako ya fire ni ya magumashi.....ayiii bebii....
mi nilimuona mtu akifundishwa kuitumia kabla hawajampa sticker na wakaikagua hiyo eksitingisha kama ni nzima.....
yako imekaguliwa....ina powder humo ndani...?....usikute unatembea na yenye majivu ukijua ni mapoudaaaaa.......

bebii....ina maana sticker yako ya fire ni ya magumashi.....ayiii bebii....
mi nilimuona mtu akifundishwa kuitumia kabla hawajampa sticker na wakaikagua hiyo eksitingisha kama ni nzima.....
yako imekaguliwa....ina powder humo ndani...?....usikute unatembea na yenye majivu ukijua ni mapoudaaaaa.....

Sticker iko...nimeikuta tayari ishanunuliwa...ila nitaikagua bebii wangu..usikute ni majivu kweli?....
 
Hakuna mahali wanatoa coursr ya fire fighting japo kwa siku moja.
Nilibahatika kusoma mahali kwa siku 2.
 
mmmmmmmmh mie natembea nayo ila sijui jinsi ya kuitumia, acha nigoogle nipate semina elekezi loh........:wink2:
 
so far hiki ndicho nilichokipata!!!!!!!!!!!! loh nahitaji tuition

[FONT=Georgia, Times New Roman, Times, serif]P[/FONT]​
[FONT=Georgia, Times New Roman, Times, serif]A[/FONT]​
[FONT=Georgia, Times New Roman, Times, serif]S[/FONT]​
[FONT=Georgia, Times New Roman, Times, serif]S[/FONT]​
[FONT=Georgia, Times New Roman, Times, serif]Pull the Pin at the top of the extinguisher. The pin releases a locking mechanism and will allow you to discharge the extinguisher. [/FONT]
[FONT=Georgia, Times New Roman, Times, serif]Aim at the base of the fire, not the flames. This is important - in order to put out the fire, you must extinguish the fuel. [/FONT]
[FONT=Georgia, Times New Roman, Times, serif]Squeeze the lever slowly. This will release the extinguishing agent in the extinguisher. If the handle is released, the discharge will stop. [/FONT]
[FONT=Georgia, Times New Roman, Times, serif]Sweep from side to side. Using a sweeping motion, move the fire extinguisher back and forth until the fire is completely out. Operate the extinguisher from a safe distance, several feet away, and then move towards the fire once it starts to diminish. Be sure to read the instructions on your fire extinguisher - different fire extinguishers recommend operating them from different distances. Remember: Aim at the base of the fire, not at the flames[/FONT]
 
fanya hivyo

asante kwa posti yako hii, maana nimepata idea angalau jinsi ya kuitumia, nina kifire extng kilichoexpire, jioni nitafanya practical..... angalau nimepata hii hapa ya picha......i hope itawasaidia wengine ambao hawajui.

pass1.jpg

ila itabidi uikuze loh....................
 
asante kwa posti yako hii, maana nimepata idea angalau jinsi ya kuitumia, nina kifire extng kilichoexpire, jioni nitafanya practical..... angalau nimepata hii hapa ya picha......i hope itawasaidia wengine ambao hawajui

nashukuru sana....niitazikuza hizo picha..hii itawasaidia na wengine
 
asante kwa posti yako hii, maana nimepata idea angalau jinsi ya kuitumia, nina kifire extng kilichoexpire, jioni nitafanya practical..... angalau nimepata hii hapa ya picha......i hope itawasaidia wengine ambao hawajui.

View attachment 50365

ila itabidi uikuze loh....................

Mkuu!
BT nimevumilia sana kukuuliza lakini hua domo langu linakua zito! Leo niachie nikufungukie! Mtoa mada KUM'RADHI !
Ni hivi,
Mimi kila nikitumbukia Jeiefu kidume lazima nikukute online ! Ofcoz takriban unakua active 3 quator ya 24 hrs ,
aidha Ndetichia, BAGAH, B52 , SL, Preta, SS, Bandama No i mean Kongosho Nao hawachezi mbali na Jeiefu!
Hebu kwa kuanzia kwako nipeni urembo wa siri , wenzangu kazi mnafanya saa ngapi ?
Mnamudumudu viaje kuratibu masaa ya job na masaa ya Jeief ? Yaani nawaheshimuni .
 
mimi binafsi saa hizi kuna semi yangu imeshavuka boda ya Zambia inaingia Dar kesho alasiri.....
Cruser zangu mbili (long base) zipo Serengeti zina night 14 camp......
kuna fuso inapakua mapeazi saa hizi soko kuu Arusha na mzigo umeshanunuliwa wote.....

niendeleeee.....

Kama mambo ndiyo hayo!
Shkamoo!
 
mimi binafsi saa hizi kuna semi yangu imeshavuka boda ya Zambia inaingia Dar kesho alasiri.....
Cruser zangu mbili (long base) zipo Serengeti zina night 14 camp......
kuna fuso inapakua mapeazi saa hizi soko kuu Arusha na mzigo umeshanunuliwa wote.....

niendeleeee.....

mule mule....
 
Back
Top Bottom