Ndg hawa nsomile wote wameshaangukia pua hata kabla ya Uchaguzi
Mh.Katagrira- Kyerwa (ccm), labda kwa muujiza, nadhani huyu ni mahtuti kuliko wote, juzi kazomewa jimboni
Blandes - Karagwe (ccm),, huyu alipata ubunge wa mezani a.k.a mchakachuaji...mara hii zitapigwa na kulindwa no wizi
Mshama - Nkege (ccm),, huyu kwanza darasa la nane, anasubiri tsunami tu... namsihi asithubutu kupoteza muda wake
Ntukamazina - Ngara (ccm), Huyu yuko ICU siku nyingi tu na inavyoelekea ashajikatia tamaa, kazi kweli kweli
Kagasheki - Bkb mjn(ccm)- cjui atachomokea wapi. nadhani hata umri hauko upande wake kabisa
Rweikiza - Bkb vjjn (ccm), huyu alichaguliwa kwa bahati tu,, 2015 bahati haina nafasi tena,, ni uwezo tu
Mwijage - Muleba Kaskazini (ccm), huyu mbwembwe zake pale mjengoni zinamfanya aonekane katuni mbele ya wananchi
safari yake inaishia 2015, akalime kahawa.
Prof. Tibaijuka - kutotimia kwa ahadi alizotoa ni kikwazo kikubwa sana kwake
Sababu mbaya zaidi inayowaathiri wote ni chama walichopo..hakichaguliki kabisa..
nawatakia kila la kheri ktk safari yao kuelekea 2015... mwenye hekima atangaze mapema kutoshiriki uchaguzi 2015
uuh! Poor analysis my friend.kwanza ansbert ngurumo mnaemuandaa apambane na mwijage hana hata mvuto kwa wananchi.Hoja yako kua kagashek umri umemtupa hivyo hafai kwanza mwambie ndesamburo.ukweli ni kwamba upande wa urais cdm inaweza pata kura nyingi lakin ubunge kwa mkoa wa kagera msahau kabisa,hata hilo la biaramro hamtolirudisha.i bet my friend.nshomile hawadanganyiki ni waelewa.kagasheki amebadilisha mji wa bk haijawai tokea
Bishanga mbona nilikua nakuheshimu sana mkuu... sasa hii ndio nini sasa?
Inawezekana huna taarifa,high table leo tanga kuna kigogo alikaa pale,atagombea jimbo mkoani kagera,ana nguvu.
Umenielewa sasa?au mkuu unataka tumwage kuku kwenye mchele mwingi?
kama ccm mwambie aendelee ba shughuki zake . vijana tutang'oa hadi mizizi ya hao vigogo sina hakika sasa kama wataendelea kusimama huku tukushanyifoa miziz
Nakuunga mkono, tatizo ni Ulkevi wa gongo na Lubisi. Na ndo sababu ya kumchagua Zimbiile kila mara huko Muleba sasa kusini na kaskazini.
ndg tunatunza kumbukumbu zako 2015 sio mbali wenzio tumeutazama mkoa kwa mapana yake kagera sio bukoba mjini pekee. mwenzetu umejukita bkb mjin tu . sikuukaumu yawezekana ndiko eneo unalifahamu. labda nikuahidi kitu kimoja. baada ta uchaguzi 2015 nitarejea hapa jamvini kukumbusha haya. Naamin una kifua cha kutosha kukabiliana na kimbunga cha kushindwa. Na kwa bahari mbaya uamuzi wa wananchi utakuwa umeshapita. Kujiandaa kuyakabili mabadiliko ni sehemu ya uongozi kwa hiyo ndg yangu jiandaeni kuwa wapinzani. Tutafika. Vuta subira
May be Prof. Tibaijuka ila wengine wameshaanguka hata kabla 2015
unajua mkuu kagera kwa vyama vya upinzani itawezekana pale watakaposimamishwa wagombea wa maana.nikitazama hali ya siasa kwa mkoa wa kagera bado ccm is strong tena sana.muleba ilio na majimbo 2 wale watu 2 hamwez kuwaondoa labda karagwe.misenyi kwa mchungaji hakuna kitu mama yule moto.
wawadharau kwa lipi! wewe vp bwana, unajuaje labda amechangia? kitu ka hujaelewa sepa fasta weka mchango wako tembea sio siasa nyingiiii!ndg yangu yangu haya ndo moja ya mambo yanayowafanya watu wawadharau... wenzio tunajadili mambo ya msingi we unakuja na luga ambazo hazieleweki..tumia lugha ambayo watz wengi tutakuelewa.
wawadharau kwa lipi! wewe vp bwana, unajuaje labda amechangia? kitu ka hujaelewa sepa fasta weka mchango wako tembea sio siasa nyingiiii!
Mwijage hana jipya ni mtu wa masifa na kujipaisha tu. Ndo mbunge wa kwanza kupigwa mawe jimboni kwake. Hawezi kurudi mjengoni yule.
nshomile hawadanganyiki ni waelewa.kagasheki amebadilisha mji wa bk haijawai tokea
Nakuunga mkono, tatizo ni Ulkevi wa gongo na Lubisi. Na ndo sababu ya kumchagua Zimbiile kila mara huko Muleba sasa kusini na kaskazini.
kaka hasira kiasi hiki haiwezi kukudaidia kujifunza. kujifunza ni pamoja na kukubali changamoto. kwa kiasi hiki cha hisira me nadhan jamvi hili si mahali pako. humu tunachambua, tunashauri, tunapeana changamoto, tunaambizana ukweli hata kama ni mchungu kiadi gani, tuna-compromise, na kufanya hivi tunajifunza zaidi; tunaboreka kiuwezo , kiuchambuzi, kimtuzamo, na hatimaye tunakuwa marafiki. wakati mwingine urafiki wetu unatokana na kutofatiana kwetu. tofauti hizi na uwezo wetu kukabiliana nazo ndo unatutofautisha wengine. kwa hiyo calm down. persevere tutavuka pamoja. lengo ni moja ni kuifanya Tanzania iwe bora zaidi. VIVA LA DEFFERENCE(na zidumu tofauti zetu) . ALUTA CONTINUA