Marire
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 12,333
- 5,312
Wakuu heshima kwenu,
Kama mtakumbuka waziri wa Elimu miaka kama miwili alisema kuwa ataunda tume ya kuratibu ADA za shule kwenye private school nchini,toka alisema hivyo sijaona chochote kikiendelea.
Najua atakuwa amekutana na changamoto ya mawaziri wenzake na wabunge wa CCM kumiliki utitiri wa shule,kama Komba anazo saba!
Ni mbunge gani wa kushupalia hili swala kwani sisi wenye kusomesha bado wamiliki wa shule binafisi wanatupandishia karo kila mwaka na hapa nina barua wa kuitwa kwenye harambee ya kuchangia ujenzi wa madarasa shule binafisi!
Naomba kuwasilisha!