Ni mbunge gani aulize swali hili bungeni?

Ni mbunge gani aulize swali hili bungeni?

Sasa wewe umechangia nini? At least mimi nimetoa ushauri kwamba apeleke swali lake kwa Waziri Kivuli wa Elimu.

Walioseme majina huumba hawakukosea kikwetu Kilamuluzi lina maana ya mngese!
Usisahau humu hatuongei kikwenu...
 
Si sawa.. ila tulipofikia sasa na utawala uliopo, tuendelee kufuata wanachotaka tu mpaka hapo wananchi tutapoamua kuendesha nchi yetu sisi wenyewe.

Kuna ndugu yangu mmoja yeye hupenda kusema... "watanzania tu mabwege sana"
 
Back
Top Bottom