Ni mawazo yamenizidi au uzembe?

Ni mawazo yamenizidi au uzembe?

Kwamba ndo pesa zitarudi au atanipa maneno matupu?
ishu ya pesa shughulikia kwanza ukiimaliza (kama itawezekana) ndio uende kwa msaikilojia ili akusaidie tatizo lako la mawazo na kukosa umakini lisijirudie siku za baadae..

Naamini ukipewa huo ushauri utabadilika kadiri siku zinavyokwenda
 
Back
Top Bottom