Ni matunda gani umeyafahamu ukiwa mkubwa/mtu mzima?

Braza Kede

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
1,731
3,372
Mimi ni matunda haya yafuatayo;
1701672512043.jpeg

Mastaferi
1701672560608.jpeg

Matikiti
1701672604544.jpeg

Maparachichi
1701672630192.jpeg

Peaches aka mafyurisi
1701672663072.jpeg

Matunda damu

Wewe je?
 
"Matunda ya Mungu" ni matunda yanajiotea porini na msimu wake haukai muda mrefu, kwani yanashambuliwa sana na ndege ,wanyama na wadudu. Yanapatikana Songea na Tunduru.

Hayo niliyala kwa mara ya kwanza ukubwani kama miaka 20 nyuma. Na kutokea hapo nimeyala mara tatu tu nyingine. Hayapatikani Dar mpaka uletewe zawadi wakati wa msimu wake.

Ni matunda ya ajabu sana kwa ladha yake, ladha yake inafanana na kila tunda ulilowahi kula kwa wakati huohuo unapolila.

Mwenyezi Mungu ni mkubwa.
 
The forbidden fruit 🍑, lipo katikati ya bustani nyingi ama iliyopaliiliwa au isiyopaliliwa.

Hili tunda ni tamu sana ila unashauriwa kulila na maganda, ukilila bila maganda kuna hatari ya kupata vijidudu hatari mwilini.

Utamu wa tunda hili unafanya watu wawe wabinafsi kiasi kutotaka kushea na mwingine. Jina lake limenitoka ndio maana natumia maelezo mengi kuliezea.

Tunda jingine ni strawberry
Leo tutakuwa na fresh strawberries Mullberry gooseberry blackberry raspberry na blueberry kari...jpg
picha kwa hisani ya insta @strawberry_tz

#literature #fasihi
 
"Matunda ya Mungu" ni matunda yanajiotea porini na msimu wake haukai muda mrefu, kwani yanashambuliwa sana na ndege ,wanyama na wadudu. Yanapatikana Songea na Tunduru.

Hayo niliyala kwa mara ya kwanza ukubwani kama miaka 20 nyuma. Na kutokea hapo nimeyala mara tatu tu nyingine. Hayapatikani Dar mpaka uletewe zawadi wakati wa msimu wake.

Ni matunda ya ajabu sana kwa ladha yake, ladha yake inafanana na kila tunda ulilowahi kula kwa wakati huohuo unapolila.

Mwenyezi Mungu ni mkubwa.
Asiee!

Madam, huna hata alau kapicha kake? Nataka nitafute mbegu yake. Huenda ikawa ni "utajiri" usiofahamika!
 
Asante kwa Uzi huu Adhimu wa Matunda.

Kuna la kujifunza hapa.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Back
Top Bottom