MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Anaeleza maoni yake sawa na ya habib wako John the babtist anaye jaza servers kila siku kwa kukashifu Chadema na MboweMkuu kwa chuki hizi umepitiliza kiwango cha chuki za kawaida cha binadamu...uenda unaumwa ila wewe hujui, tafuta wataalam wa magonjwa ya kisaikolojia ukatibiwe!
Ila Kabudi Kiakili yuko vizuri mno Ndugu.Sijui alikuaje mwalimu wa UDSM.
"Mzee wa mwaka elfu mia tisa na kenda"Hotuba ya Mh. Kabudi jana iliambatana pia na wasifu wa marehemu.
Hivi kutafuta kasoro kwa kila jambo kumbe nao ni ugonjwa?
Hotuba ya Mh. Kabudi jana iliambatana pia na wasifu wa marehemu.
Hivi kutafuta kasoro kwa kila jambo kumbe nao ni ugonjwa?
Wagonjwa wa aina hii huwa hawajijui! Solution ni kukamata na kufunga mikono na miguu na kusukumiza psychiatric ward😂!Mkuu kwa chuki hizi umepitiliza kiwango cha chuki za kawaida cha binadamu. huenda unaumwa ila wewe hujui, tafuta wataalam wa magonjwa ya kisaikolojia ukatibiwe!
Ugonjwa wangu Nikikukaza tu Unapona.Mkuu kwa chuki hizi umepitiliza kiwango cha chuki za kawaida cha binadamu. huenda unaumwa ila wewe hujui, tafuta wataalam wa magonjwa ya kisaikolojia ukatibiwe!
Wagonjwa wa aina hii huwa hawajijui! Solution ni kukamata na kufunga mikono na miguu na kusukumiza psychiatric ward😂!Mkuu kwa chuki hizi umepitiliza kiwango cha chuki za kawaida cha binadamu. huenda unaumwa ila wewe hujui, tafuta wataalam wa magonjwa ya kisaikolojia ukatibiwe!
Aliyekuzaa alitoka lini huko katika Psychiatric Ward labda?Wagonjwa wa aina hii huwa hawajijui! Solution ni kukamata na kufunga mikono na miguu na kusukumiza psychiatric ward😂!
Utakuwa humjui vizuri Prof Kabudi.Sijui alikuaje mwalimu wa UDSM.
Nimekusamehe 🙏!Aliyekuzaa alitoka lini huko katika Psychiatric Ward labda?
Utoto unakusumbua!Pumbavu sijaanza Kumfuatilia Waziri Profesa Kabudi leo na sasa kwa Kukusaidia pia ni Rafiki mkubwa sana wa Baba yangu Mzazi na hizo Kasoro zake za Mistori mingi isiyo na Kichwa wala Miguu hata akija Kumsalimia Baba ( Mzee ) bado huwa ninaziona. Sema lingine tena sasa Mpuuzi Wewe.
We acha tu.Tecno ilikuja mapema sana TzHotuba ya Mh. Kabudi jana iliambatana pia na wasifu wa marehemu.
Hivi kutafuta kasoro kwa kila jambo kumbe nao ni ugonjwa?
Ukianza Mimi namalizia tu. Mtanyooka!!!Nimekusamehe 🙏!
Ulitaka nimseme nikiwa Nakupakuwa Chumbani Kwangu au? Wewe ni nani wa Kunipangia Mimi cha Kuandika na Kuchangia hapa JF? Idiot!!Utoto unakusumbua!
Yaani rafiki ya baba yako ndiyo unaingia jukwaani kumsemea vibaya?
Nonsense!