Ni maswali tu, msinitukane!

Ni maswali tu, msinitukane!

Mtoa mada una elements za kike.naona unaandika huku umebana pua..vidole umelegeza..kajitakase kwanza uache kuliwa 0713..kisha uje na mada zako juu ya our next President. Kajambe mbele
 
Mpitisheni agombee ndio mtajua chadema na ukawa wanajua lowasa ni fisadi au muadilifu.
 
Hivi ndugu yangu unauliza uadilifu wa lowasa nchi hii?politics is just a game just wait.ukawa bado wanachanga karata zao mkiingia kwenye penalt box na mamvi mmekwisha.hii ni siri nimekutobolea usimwambie mtu nisije kufukuzwa kwenye chama nikaitwa msaliti.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom