Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 40,000
Mtu mwenye bahati mbaya. (Tafta alfu lela u lela) kazungumzwa humo kwa kirefu.Jamaa wa MATAGA mbona hawatupi taarifa za Bomberdiers, Dreamliner na Airbus...vipi zile safari za nje ya nchi zimeanza? Tukiwa wadogo niliwahi kusikia story za mtu mwny GUNDU. Eti chochote anachokifanya hakifanikiwi. Sijui Meko ana GUNDU?
Hakuna jibu ambalo Serikali yetu itatoa liliridhishe maadui wa TZ yetu, unamjibu nini mtu anayekwenda foreign media kusema kwamba Raisi Magufuli amempiga risasi?[/QUOTE
CCM yangu na serikali yake wamekataa msaada wa vyombo vya nje kusaidia upelelezi, cha ajabu hadi hakuna hata kajibu ka nani anahusika.
Swali linabaki ni wasiojulikana ni akina nani?
Je, lissu kuituhumu serikali yake sio ajabu, hata mimi ningesema hivyo ili nipewe jibu.
Adui kawa adu9
Swali la nyongeza, CCTV camera Nani aliziondoa baaada ya tukio,?? Kwanini??..1. Ni nani alitoa maelekezo ulinzi usiwepo area D siku aliyoshambuliwa TL?
2. kwanini serekali ilikataa ombi la familia ya TL kuwashirikisha WACHUNGUZI TOKA NJE ktk suala hili?
3.Kwanini serekali imegoma kutafuta msaada wa Polisi wa Kenya na Ubelgiji ili TL na dereva wake wachukuliwe maelezo?
Majibu yote kashatoa Mollel.Hakuna swali lisilojibika. Mtu akijibu "sijui" nalo ni jibu. Kuna maswali na hoja nyingi zimeibuliwa na Lissu kabla ya jaribio la kuuawa dhidi yake na muda wote wa matibabu hadi hivi sasa anapoendelea kutengemaa kiafya. Majibu mbalimbali ambayo yamekuwa yakitolewa ama na vyombo vya dola au wanasiasa wa chama tawala au watendaji mbalimbali yanaonekana ama si ya kuridhisha au yasiyogusa moja kwa moja maswali na hoja za Lissu.
Kwa baadhi yetu tunaomuunga mkono Magufuli baadhi ya majibu haya yanaudhi na yanafanya watu wajiulize kama serikali haina watu wenye uwezo kweli wa kujibu hoja na maswali mbalimbali... hadi hivi sasa ni maswali au hoja gani za Lissu ambazo unaona hazijajibiwa vizuri, kwa usahihi, na hata weledi fulani... na zipi unaona zimejibiwa kisiasa zaidi...
Kumbuka hata jibu la "sijui" nalo ni jibu...
Nataka nione kama ningekuwa mimi katika Usemaji wa Serikali au mtu fulani ambaye anatakiwa kutoa majibu (Polisi, Bunge n.k) ningetoa majibu gani kama mazingira yote yangekuwa ni haya haya...
Hapo ndipo maswali yalipoanzia huku kwingine ni blah blah! WAMEJISAHAULISHA WANAPIGA SIASA.Hata lile gari lililo kuwa linamfuatilia mpaka ataja namba zake hatukupatiwa majibu ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja zingine huhitaji kuzijibu kama hazina mantiki. Halafu ujue zingine ni propaganda tu!Hakuna swali lisilojibika. Mtu akijibu "sijui" nalo ni jibu. Kuna maswali na hoja nyingi zimeibuliwa na Lissu kabla ya jaribio la kuuawa dhidi yake na muda wote wa matibabu hadi hivi sasa anapoendelea kutengemaa kiafya. Majibu mbalimbali ambayo yamekuwa yakitolewa ama na vyombo vya dola au wanasiasa wa chama tawala au watendaji mbalimbali yanaonekana ama si ya kuridhisha au yasiyogusa moja kwa moja maswali na hoja za Lissu.
Kwa baadhi yetu tunaomuunga mkono Magufuli baadhi ya majibu haya yanaudhi na yanafanya watu wajiulize kama serikali haina watu wenye uwezo kweli wa kujibu hoja na maswali mbalimbali... hadi hivi sasa ni maswali au hoja gani za Lissu ambazo unaona hazijajibiwa vizuri, kwa usahihi, na hata weledi fulani... na zipi unaona zimejibiwa kisiasa zaidi...
Kumbuka hata jibu la "sijui" nalo ni jibu...
Nataka nione kama ningekuwa mimi katika Usemaji wa Serikali au mtu fulani ambaye anatakiwa kutoa majibu (Polisi, Bunge n.k) ningetoa majibu gani kama mazingira yote yangekuwa ni haya haya...
Ingekuwa nchi yenye utawala wa sheria alipaswa kukamatwa muda uleule...
..1. Ni nani alitoa maelekezo ulinzi usiwepo area D siku aliyoshambuliwa TL?
2. kwanini serekali ilikataa ombi la familia ya TL kuwashirikisha WACHUNGUZI TOKA NJE ktk suala hili?
3.Kwanini serekali imegoma kutafuta msaada wa Polisi wa Kenya na Ubelgiji ili TL na dereva wake wachukuliwe maelezo?
Hoja zingine huhitaji kuzijibu kama hazina mantiki. Halafu ujue zingine ni propaganda tu!
Hoja zingine huhitaji kuzijibu kama hazina mantiki. Halafu ujue zingine ni propaganda tu!