Ni Maswali Gani Serikali Inapata Shida Kuyajibu kwenye Hoja za Tundu Lissu?

Hakuna mwenye IQ ya kumjibu TAL ambaye yupo ndani ya Chama Cha Jamii ya mboga mboga maybe wote wajivue uanachama labda akili ndo zitarudi maana sasa ivi wako kwenye likizo ya kufikiri kwa kutumia akili wameachia TUMBO kazi iyooo🤐👹
 
Binafsi nashangaa sana kwamba Dr Mollel hajaitwa kuisaidida polisi; atawasaidia hata kujua ulinzi pale area D uliondolewa kwa amri ya nani na CCTV cameras ziliondolewa kwa amri ya nani!
Ili kujua tulipofikishwa ukiona kwa "MSIBA" HATA KUKOHOA HAWAKUKOHOA jua kwa HUYU walifumba macho kabla hajaropokwa.
Ukimuona mbwa juu ya mti kapandishwa...
 
Hakuna jibu ambalo Serikali yetu itatoa liliridhishe maadui wa TZ yetu, unamjibu nini mtu anayekwenda foreign media kusema kwamba Raisi Magufuli amempiga risasi, sacrosanct ?

Hakuna jibu lolote litakalokubalika na haijalishi nani au uchunguzi gani umefanyika kama hautasema ,,Raisi Magufuli kampiga Tu ndu Lisu risasi “ sasa kuna haja gani kuwajibu watu ambao tayari wana jibu?

Kwa maoni yangu iko jinsi ilivyo na Tu ndu & Co. fanyeni mnavyotaka kufanya na kama mbwai na iwe mbwai.

Jibu lipo. Hebu chukulia uchunguzi huru unafanyika Na majibu huru kutolewa, ni chizi gani atabaki Na was was Na majibu?
 
Kumbuka hicho chama unachokipa pole kinaongoza Serikali na Bunge hizo pole wape ufipa huko....
Kuongoza si ishara ya uwezo, hekima wala busara. Akina Idd Amin walitawala Uganda kwa miaka minane wakiwa Ni wapumbavu tu.
Hata Sasa ukiwaangalia kwa makini wanaoitawala CCM hawana tofauti na utawala wa Amin. They are all buffoons, abductors and killers of their own people!!!
 
Kuongoza si ishara ya uwezo, hekima wala busara. Akina Idd Amin walitawala Uganda kwa miaka minane wakiwa Ni wapumbavu tu.
Hata Sasa ukiwaangalia kwa makini wanaoitawala CCM hawana tofauti na utawala wa Amin. They are all buffoons, abductors and killers of their own people!!!
Wameishaua Shangazi yako au Mjomba wako? Acha propaganda za kikuda.
 
Wanasema wanamsubiri Lissu na dereva wake warudi wakatoe statement ndo uchunguzi uendelee wakati waliweza kumfuata Lissu Nairobi kumpa pole kwa kumtumia makamu wa rais na usalama wa taifa juu. Kwanini hawakuchua statement ya Lissu na dereva wake wakati huo? Halafu wanakua wakali wakihusishwa na tukio.
Wanamsuburi TL na dereva wake? Kama wangekufa wasingefanya uchunguzi, embu tuamke kidogo
 
lisu hana swali zaidi ya lawama.alisema anawajua walimpiga risasi sasa anaona shida gani kuwajataja tena akiwa huko mbali

hapa nikutafuta kiki za kijinga na kuwa kama kigagula tu
"Ninayo majina lakini kwa sasa siwezi kuyataja, lakini iko siku nikiwa hai au nimekufa, nitayataja (wabongo wa marekani makofi) narudia nikiwa hai au nimekufa nitayataja (makofi)" - Tundu A. LISSU 😃😂😃😂😃😂
 
Kiongozi, kuna nafasi ukipewa na ikatokea ishu inayohusu nafasi yako JIBU LA SIJUI HALINA NAFASI TENA... ukitoa jibu la sijui maana yake nafasi hiyo INAKUPWAYA....

Maswali ni haya...
1. Walinzi wa eneo zilipomiminwa risasi ni wa serikali, ilikuwaje siku ya tukio hawakuwepo lindoni?
2. Kama waliamriwa kuondoka, NANI ALITOA AMRI HIYO NA KWA SABABU GANI? Kama walitoroka, wamechukuliwa hatua gani ukizingatia kuna jaribio la mauwaji limetokea lindoni kwao?
3. CCTV Camera zimeenda wapi? Nani amezifungua? Huko zilikofungwa, ukiondoa walinzi wa eneo hilo, hakukuwa na tu anayehusika na maintenance ya CCTV?
4. Kwa nini polisi waliomba kwenda kumhoji LISU akiwa Nairobi na baadaye hawakutokea?
5. Nini kimetokea hadi polisi waseme jarada la LISU limefungwa na kusiwe tena na mjadala wa habari ya Lisu?
6. Tundu Lisu amevunja utaratibu gani uliopelekea kutotibiwa kwa gharama za bunge kama ambavyo utaratibu unataka?
7. Kwa nini polisi wanataka kuhojiwa na polisi lazima Tundu Lisu awe amerudi Tanzania? Kwa nini hawakushirikisha INTERPOL kuwezesha hilo? Au kwa nini hawakufuata utaratibu wa kisheria kuwahoji wote, dereva na Lisu?
8. Anayeweza kusema kwamba Lisu amepona au la ni madaktari wake, kwanini baadhi ya watu na maofisa wa serikalini wanasisitiza LISU arudi Tanzania kwani keshapona?
9. Wakati Lisu aliposema anafuatiliwa na kutaja namba ya gari inayomfuatilia, Serikali na wanaohusika walifanya hatua gani kuhakikisha LISU hadhuriki?
10. Mpaka sasa KWANINI HAKUNA HATA MTUHUMIWA MMOJA?
11. Nani ameshahojiwa juu ya TUKIO la LISU? AU wa kuwahoji ni Lisu na derva wake pekee?
"Sijui" kwa mujibu wa Mwanakijiji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka auawe Shangazi au Mjomba, umesahau ile ahadi waliotupa kwenye dust bin isemayo: "binadamu wote Ni Ndugu zangu na Africa ni moja!!!?"
Sasa kama hujui kama wapo waliouawa na Serikali kama unavyosema kwanini unasema uliokaririshwa? Kwanini unaipakazia Serikali mambo ambayo huna uhakika nayo? Its totally not fair
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom