Ni masaibu gani yamemkumba Boflo..?

Boflo anatafuta sugarmamy, kamaliza pesa zake kwa kutesa mademu hivyo anahamia kwa wamama wakubwa lol. akishapata pesa atarudi kuwatesa tena.
 
Last edited by a moderator:
bora umeelewa........halafu nimekumiso....long tyme sana bana........

jamani si mkono huo hapo unaonyesha bidhaa.......au aje mwenyewe atufungulie....sio atuuzie kwenye box.......

Mekumiso wewe Preta vibaya sana
mzima sana wewe
Preta mbona mzigo wenyewe umechoka kihivyo aise hata hauuziki
huo apeleke tandale tuu kule na uwanja wa fisi anaweza pata wateja
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom