Sio kweli kuwaza maovu ni tabia tu ya mtu🤣🤣🤣🤣🤣🤣 angekuwa singlemom hapo🙆🙆🙆🙆...pole mkuu jaribu wenye mishe zao au waajiriwa.Sikuzote mwanamke au mwanaume akikaa tu bila kujishughulisha hana Cha kuwaza zaidi ya maovu
Hovyooooooo kwani huyo aliye busy nawe ukimpa Upenyo tu kidogo Wajuba hawawezi Kumkojolea?Pole Sana...
Achana na kuolea watu ...
Tafuta alie bize mnarudi wote jioni
nakazia hapakunywa maji mengi
Hata huyo watamtomba kaziniPole Sana...
Achana na kuolea watu ...
Tafuta alie bize mnarudi wote jioni
Bora kuliko kufumania nyumbaniHata huyo watamtomba kazini
Endelea kujidanganya...Pole Sana...
Achana na kuolea watu ...
Tafuta alie bize mnarudi wote jioni
dah, hamna kukwepesha....Hata huyo watamtomba kazini
Kifupi hauna ny3ge wala haupo romantinki kwa hizo pisi.Habari wakuu
Katika maisha yangu nimekua nikiamini mwanamke akiwa na kazi au biashara ya kutoka asubuhi na kurudi jioni kuongea na wateja wa kiume katika biashara basi ni rahisi kuliwa
Na mimi nilivyoumbwa na wivu nikaona bora nijinyakulie mtu asie kua na kazi yani awe mama wa nyumbani nikachukua mtoto mmoja mbichiii wa kizaramo lakini nifupishe story aliliwa palepale nyumbani kwenye kitanda changu nikamtimua
Nikakaa kama miaka miwili ya usingo baadae nikavuta pisi moja teke teke ya kinyaki ina miaka 22 haina kazi nikawa naiacha nyumbani nikiamini kua ikiwa inajishughulisha wahuni watanichapia
Lakini mpaka naandika uzi huu kwa kifupi nimetoka kufumania
Hasa Washamba.Watu mko serious sana na mapenzi