Ni mapenzi tuu, sio limbwata

Nazi inatoka lainiiii alafu hata kibao hakifanyi kelele ukiona hivo ujue huyo ndio mkunaji nazi wa ukweli

Hahahahaaaa ila hajazingatia afya kifua kiko wazi na vitu vimetapakaa hovyo
 
ngoja nikumbuke kama nishawahi kukuna nazi
 
Huyu jamaa atakuwa ni mtaalamu wa kukuna na sehemu nyingine maana yataka ujasiri kukaa na kufanya kazi hii hasa kwa sisi waafrika ambao kazi kama hizi hufanywa na wanawake.
 
Jamaa ni mpishi huyu, mkewe amejifungua muda mfupi Sasa anamsaidia, anangalia beseni jipya la mtoto...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…