Ni maono yangu 2030 January Makamba Mgombea CCM wakati Polepole akiungana na Bashite Kwenda Upinzani

Wizara moja ya Umeme immemshinda ataweza Nchi nzima😿😿😿😿😿

Hacheni utani
 
Ukweli ni kwamba kifo cha Magu kimechanganya sana karata za urais.

2030 vita ya Membe na Lowassa itajiuridia kwa Makamba na Mwigulu..... Au miaka hii 8 kuna mwingine atajitokeza!
 
Mwaka 2030 January Makamba ni mgombea wa CCM!!! Sijasema atakuwa raisi maana kazi itakuwa ngumu kutokana na kwamba tutakuwa na Katiba Mpya ambayo italeta ugumu kwa CCM !!!! Mheshimiwa Polepole ataleta upinzani maana ashaanza kuwakamata akili baadhi ya wa maono Kama yeye na ataleta ushindani ndani ya Chama huku akishindwa anaelekea Chama Kitakachokuwa na Upinzani Mkubwa na si lazima iwe Chadema kinaweza kuibuka kingine maana kwenye siasa lolote laweza tokea japo Bado imani inaendelea kuniaminisha kwamba Chadema itasimama Imara japo kuna mengi hapa kati kati!!!!!

Wakati huo wapiga Zumari Kina Kigogo wa Twitter na Kimambi wa Instagram watakuwa hawana ushawishi Mkubwa Sana kivileee!!!

CCM itapasuka na wakiangalia vibaya kwenye kamchakato ka kuwapitisha wagombea Kuna kundi la wachungaji wa ng’ombe USUKUMANIII litaleta ushindani Mkubwa kwa Kundi la Watoto wa Maji ya Chumvi (karibu na Mujini Darusalaamu)

Kipindi hicho wachambuzi Manguli wa hapa Jamiiforums Kama tindo Kalamu1 The Boss Nyani Ngabu watakuwa wamejichokea na saa nyingine kujitojeza hadharani kwamba sisi ndo Kina fulani

Sina uhakika Kama Pascal Mayalla atakuwa Bado anachambua na kuleta nyepesi za kule jengo jeupe mithiri ya Meli ambako wanaingia Kwa majina maalumu na simu wanazima wanaitana chief ukijichanganya ukaenda kumuuluzia ijumaa aga kabisa kwenu mana unaweza kutoka Jumatatu!!!

Kanisa la mchungaji Gwajima litakuwa ndo basi tena watakuwa wameshaanza kujitokeza waumini wake kusema yasiyo sahihi huku tukiwa midomo wazi…mwaka 2025 Ubgunge anaweza asipate tena ..

Hapo sasa ndo tutaona Tanzania yenye kuheshimiana kidogo maana itakuwa ni uchaguzi wa kwanza chini ya Tume huru na KATIBA Mpya

Britanicca
Wakienda Act wazalendo sawa, ikiwezekana polepole awe mgombea kwa ticket ya Act
 
Hadi sasa Makamba Jr ana alama ipi kwa Watanzania ya kuonyesha?
 
Tunafikiri uraisi sana ni miaka 8 zaidi mbele😂 tuache watu waishi na tuangalie maisha yetu kwa sasa
 
Polepole atakuwa keshasahaulika katika medani, Bashite atakuwa anapalilia mashamba ya magereza ya kilimo
 
Alama yake ni kwa serikali ni bingwa wa michongo kwa kifupi ni mwizi hasie na uoga
January nilikuwa namkubali alipoingia top 3 ya wangombea urais 2015 na issue ya mifuko ya plastic, lkn sielewi kwa nini awamu hii anapwaya kwenye hii wizara.
 
2030 ni zamu ya mkristo,msitake kutuchanganya ,mtaleta Vita

USSR
Mm ni mkristo ila hili haliko sawa karne ya 20. Nyerere alianzisha hyo principle ili kutoa kelele kelele maana taifa lilkkua bado changa.

Ila kwa sasa Tunaitaji Rais smart, mzalendo mwenye maono na msimamo haijalishi katoka dini gani.
 
Back
Top Bottom