Ni maono yangu 2030 January Makamba Mgombea CCM wakati Polepole akiungana na Bashite Kwenda Upinzani

Unaleta mambo ya bashite tena humu?
Unajua huyu ana scendo kuliko hata sabaya?
Sijui kwanini wahusika wako kimya kuhusu huyu mtu!
 
Mwaka 2030 January Makamba ni mgombea wa CCM!!! Sijasema atakuwa raisi maana kazi itakuwa ngumu kutokana na kwamba tutakuwa na Katiba Mpya ambayo italeta ugumu kwa CCM !!!! Mheshimiwa Polepole ataleta upinzani maana ashaanza kuwakamata akili baadhi ya wa maono Kama yeye na ataleta ushindani ndani ya Chama huku akishindwa anaelekea Chama Kitakachokuwa na Upinzani Mkubwa na si lazima iwe Chadema kinaweza kuibuka kingine maana kwenye siasa lolote laweza tokea japo Bado imani inaendelea kuniaminisha kwamba Chadema itasimama Imara japo kuna mengi hapa kati kati!!!!!

Wakati huo wapiga Zumari Kina Kigogo wa Twitter na Kimambi wa Instagram watakuwa hawana ushawishi Mkubwa Sana kivileee!!!

CCM itapasuka na wakiangalia vibaya kwenye kamchakato ka kuwapitisha wagombea Kuna kundi la wachungaji wa ng’ombe USUKUMANIII litaleta ushindani Mkubwa kwa Kundi la Watoto wa Maji ya Chumvi (karibu na Mujini Darusalaamu)

Kipindi hicho wachambuzi Manguli wa hapa Jamiiforums Kama tindo Kalamu1 The Boss Nyani Ngabu watakuwa wamejichokea na saa nyingine kujitojeza hadharani kwamba sisi ndo Kina fulani

Sina uhakika Kama Pascal Mayalla atakuwa Bado anachambua na kuleta nyepesi za kule jengo jeupe mithiri ya Meli ambako wanaingia Kwa majina maalumu na simu wanazima wanaitana chief ukijichanganya ukaenda kumuuluzia ijumaa aga kabisa kwenu mana unaweza kutoka Jumatatu!!!

Kanisa la mchungaji Gwajima litakuwa ndo basi tena watakuwa wameshaanza kujitokeza waumini wake kusema yasiyo sahihi huku tukiwa midomo wazi…mwaka 2025 Ubgunge anaweza asipate tena ..

Hapo sasa ndo tutaona Tanzania yenye kuheshimiana kidogo maana itakuwa ni uchaguzi wa kwanza chini ya Tume huru na KATIBA Mpya

Britanicca
Aisee ila ccm mnaangaika Sana why
 
Magufuli katufunulia kombe, sidhani kuwa litarudishwa ndani lifunikwe tena
Yes...

Mkuu ujue kila mtu analetwa kwa makusudi maalum na kuna kitu kupitia huyo mzee hakifahamiki kwa jicho la ugali kwa dagaa.

Yaani hata hawa wapinzani wake wanaweza kula mema ya nchi hii sababu akiwa ni Legendary Pombe.
Ni kama muuza bucha kaenda kutafuta chenji alafu kakuacha buchani.
 
Makamba ni Kama Membe mzee wa niguse ninuke,aliaandaliwa chakula mpaka wakamuwekea mdomoni,lakini akashindwa kumeza.
Makamba hata wamuandalie njia kiasi gani,kamwe hataiona nchi ya ahadi.
 
Jannuary na Mama wote team moja, aliyeshika remote ndio ameengineer uwepo wao hapo wote na ndiye anayeicheza game.....kwa sasa anasogeza kete tu ( kwa michezo hiyo ni mtu makini sana maana kuna mtu mpaka leo hana hamu tena anapiga mitungi tu sasa..)... kauli ya mama ni mbinu ya medani kwa mshika remote kuwapoteza maboya then inapigwa free kick kama 2015....
Free kick saa zingine huwa hata refa haoni goli kumbukeni 2015 karatasi ya mfukoni kapewa na nani
 
Mwaka 2030 January Makamba ni mgombea wa CCM!!! Sijasema atakuwa raisi maana kazi itakuwa ngumu kutokana na kwamba tutakuwa na Katiba Mpya ambayo italeta ugumu kwa CCM !!!! Mheshimiwa Polepole ataleta upinzani maana ashaanza kuwakamata akili baadhi ya wa maono Kama yeye na ataleta ushindani ndani ya Chama huku akishindwa anaelekea Chama Kitakachokuwa na Upinzani Mkubwa na si lazima iwe Chadema kinaweza kuibuka kingine maana kwenye siasa lolote laweza tokea japo Bado imani inaendelea kuniaminisha kwamba Chadema itasimama Imara japo kuna mengi hapa kati kati!!!!!

Wakati huo wapiga Zumari Kina Kigogo wa Twitter na Kimambi wa Instagram watakuwa hawana ushawishi Mkubwa Sana kivileee!!!

CCM itapasuka na wakiangalia vibaya kwenye kamchakato ka kuwapitisha wagombea Kuna kundi la wachungaji wa ng’ombe USUKUMANIII litaleta ushindani Mkubwa kwa Kundi la Watoto wa Maji ya Chumvi (karibu na Mujini Darusalaamu)

Kipindi hicho wachambuzi Manguli wa hapa Jamiiforums Kama tindo Kalamu1 The Boss Nyani Ngabu watakuwa wamejichokea na saa nyingine kujitojeza hadharani kwamba sisi ndo Kina fulani

Sina uhakika Kama Pascal Mayalla atakuwa Bado anachambua na kuleta nyepesi za kule jengo jeupe mithiri ya Meli ambako wanaingia Kwa majina maalumu na simu wanazima wanaitana chief ukijichanganya ukaenda kumuuluzia ijumaa aga kabisa kwenu mana unaweza kutoka Jumatatu!!!

Kanisa la mchungaji Gwajima litakuwa ndo basi tena watakuwa wameshaanza kujitokeza waumini wake kusema yasiyo sahihi huku tukiwa midomo wazi…mwaka 2025 Ubgunge anaweza asipate tena ..

Hapo sasa ndo tutaona Tanzania yenye kuheshimiana kidogo maana itakuwa ni uchaguzi wa kwanza chini ya Tume huru na KATIBA Mpya

Britanicca
Kipindi hiki ulijua kwamba Januari atapewa wizara ya Nishati na madini na kushindwa kuelewa jinsi ya kuiongoza?
 
Tangu aingie yeye wizarani, nchi imekuwa gizani, halafu mnamuwazia kwenye uRais kabisaaa!
 
Back
Top Bottom