Ni maneno gani matamu unaweza kumwambia mpenzi wako yakamfanya asisimuke na kukupenda?

Pesa ina matumizi mengi mkuu! I don't drink so itakua inaenda kwenye matumizi mengine ya kawaida tu ila lazima na yeye nimnunulie kizawadi kidogo hapo hata kachocolate tuu😉
Heee sasa mm nimekugea laki 9 ya zawadi, Hlf baada ya hapo zawadi unayowaza ww kunipa ukipata hela nyingi ni chocolate aisee, hiyo zawadi Ya chochote naikataaa, Kaa nayo bora usinipe, wanawake cjui mkoje financial services
 
Mapenzi ya maneno yalishapitwa na wakati saizi ni vitendo tu. Mwanzisha mada umri wako below 30
 
Hata kama Usiku wa manane,"Umeshakula Baby!!
Nadhani mnajua kitachofuata
 
Mfire
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…