Ni manamba namba tu, hamna lolote

Huyo jamaa namfananisha na huyu....

 
Jamaa limeona noumaa hadi limevaa sun glasses
 
Enheee huyu bibi age yake si ni kama ya nyanya au bibi ake kijana kabisa!
Duh.., jamaa kama yuko ndotoni vile..,hayupo hapo kwenye tukio kabisa!!!
Mie manambanamba hayajanitoa utu kabisa au kunipa wendawazimu wa kufanya jambo kama hilo!!!
 
Watu wanauwa kwa fedha, bora huyo anatumia nguvu zake kimaarifa.
 
Iache hivi ilivyo na usitoe comments....waachie waulaya na Marekani wanaonajua maana ya hii ndoa.....
 
Hivi kitumbua cha bibi kina test sawa na cha kijana?

Bujibuji, kusema ni manamba namba tu ulikuwa umelikoroga, sasa hii uliyoweka ndiyo kabisa umelitibua.

Aghaa! Ngoja nikawahi kupanda daladala kwenda kibaruani sasa hivi. Aghaa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…